FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimetazama match ya PSG,Neymar wakati yuko Barca,anakaa wing anangoja mpira hence ana conserve energy for those outbursts of his.Huko PSG he is everywhere yaani sooner or later ata suffer burn out
 
Nimetazama match ya PSG,Neymar wakati yuko Barca,anakaa wing anangoja mpira hence ana conserve energy for those outbursts of his.Huko PSG he is everywhere yaani sooner or later ata suffer burn out
Yule dogo nilikuambia hamna kitu mnaniona nina wivu Neymar hata msimu uliopita ametukosesha kikombe
Mimi tangu nimeota kichwa you cant be a good superstar kwenye football hadi uwe goal scorer mzuri ,hii sifa Neymar hana so atamsaidia sana tu cavanni awe top scorer kuhusu goal making or play making yuko vizuri sana ila tabia yake ya mipira kupotelea kwake inam discredit
 
Nimetazama match ya PSG,Neymar wakati yuko Barca,anakaa wing anangoja mpira hence ana conserve energy for those outbursts of his.Huko PSG he is everywhere yaani sooner or later ata suffer burn out
Pia hawezi tena kuwa darling wa timu. Anakimbia shadow ya Messi anakutana na ya Mbappe, ambaye yuko nyumbani! From the frying pan into the fire!
 
dembele na semedo tuitazame hii flank inakuwaje-iki gel tunatangaza ubingwa kabisa
Semedo tumeshafanya clearance kazi imebakia kwa Dembele namshauri asi panic tu maana barca requirements ni nyingi atacheza under a lot of pressure
 
Semedo tumeshafanya clearance kazi imebakia kwa Dembele namshauri asi panic tu maana barca requirements ni nyingi atacheza under a lot of pressure
Velverde ameambiwa na gazzeti za leo-Kwamba Barca inahitaji goal 3 au Zaidi kurudisha Imani ya wazawa
 
Madrid wanaenda kwa nguvu za almighty,spanner mkononi,hebu mie nimsubiri Dembele
Lucho ndiye aliyewapa Madrid makombe yote msimu uliopita kwa ujinga wake

Japo msimu uliopita referee walituonea sana kwenye maamuzi mengi na kuwa-favour Madrid, game ya mwisho ndiyo iliyoamua bingwa.

Mechi nyingi zinazowaokoaga Madrid ni come back,wakikutana na team organised, yanawakuta kama ya leo
 
Nimetazama match ya PSG,Neymar wakati yuko Barca,anakaa wing anangoja mpira hence ana conserve energy for those outbursts of his.Huko PSG he is everywhere yaani sooner or later ata suffer burn out
Neymar kuna kitu anajaribu ku-prove kuwa alinyimwa uhuru wa kufanya kile anachotaka kufanya, na anajitutumua kweli (he is a vr good good player though) lakini kuna kipindi cha judgement kinakuja ambacho ndani ya week moja ni either team yako ishinde treble au kupoteza vikombe vyote hapo ndio itajulikana kama yaliyopo yamo au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…