FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ni bora madrid sio hawa espanyol ni wakamiaji kweli ..ngoja tuone nani leo ata beba ballon d'0r viva barca
 
Na ndo ivo,hawa barca huwa wanakamia game za madrid tu,wametoa draw na espanyol,ila sishangai hii ilikuwa barcelona derby.
 
Na ndo ivo,hawa barca huwa wanakamia game za madrid tu,wametoa draw na espanyol,ila sishangai hii ilikuwa barcelona derby.

Timu zinazokamia mechi huwa hazifanikiwi kwa vile zinaishia kupata points chache tu na ambazo hazina tija. Barca haikamii RM, ndo maana ilikuwa bingwa kwa points 96,99 n.k wakati ukimfunga RM mechi 2 unapata points 6, so hizo 90,93 zinatoka kwa timu nyingine, hivyo sentesi iliyo bora labda kusem Barca inakamia ubingwa.

Barcelona derby huwa ni ngumu kwa Barca siku zote kutokana na historia ya kuanzishwa kwa timu hizi, Espanyol ilipoanzishwa ilikuwa ni kuipinga Barca kwa sababu wao waliamini kuwa Barca ni timu iliyoanzishwa na wageni kwa hiyo wao wakawa ni wazawa na upinzani ukawa mkubwa na pia wakati mashabiki na wanachama wa Barca kule Catalonia wanapigania uhuru wa Catalonia, wao Espanyol wanapinga Catalonia kuwa huru. Hapo unakuta upinzani wa uwanjani unakwenda mbali zaidi na ndo maana juzi mashabiki wa Espanyol waliingia na bango lililoandikwa 'QUATAR IS NOT CATALONIA',kuwajibu Barca ambao waliwahi kuandika 'CATALONIA IS NOT SPAIN'.
 

ndo mbwembwe za kuwa bingwa duniani kila la heli
 

mkuu kheri ya mwaka mpya umeadimika humu wape darasa hawa jamaa waelewe kabisaa kukutana na espanyol mara moja ni bora upate mechi mbili za madrid mfululizo hiyo pressure yake
 
Shughuli imeanza la classica, inaonyeshwa SETANTA AFRICA.
 
I need all the bubblegum i can get..No sleeping this is massive..Clasico
 
CR7 draws first blood..but as you know with barca tables turn quick..
 
hadi sasa naona mambo bado, huyu CR7 nina uhakika SAF anajuuuta kumuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…