Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Ulaya si Bongo ndugu. Tokea 2009 hadi 2017 . Real Madrid kabeba mara 2 tu hiyo La Liga. Usilete mambo ya VPL ya bongo na La Liga. Kule yeyote bingwa . Ukizubaaa tu, sio lazma utoke nyuma au mbele.Yule Bishoo aliekuwa anatucost ya shoo zake wakati hata ushindi hatujapata hayupo ......kwahiyo msitegemee tena malaga kuwabeba kama msimu uliopita maana malaga walipotufunga mbili mkawa mnawapongeza kweli
Bila shaka huu uzi utakuwa unauona kama zizi. Karibu zizini mkuu.Mashabiki wa Barca huwa nawa fananisha na Nguruwe Nguruwe vile....
Sijui kwanini tu...
Atakuwa amejifunza...tehBila shaka huu uzi utakuwa unauona kama zizi. Karibu zizini mkuu.
Nguruwe halisi huwa wako hivyo siku zote kwa hiyo siyo kosa lako!!!!.Mashabiki wa Barca huwa nawa fananisha na Nguruwe Nguruwe vile....
Sijui kwanini tu...
This is the ugly truth that any madrid fan would never wanna hear but hopefully someday they will realise that messi is an astonishing player to everyone who undrstands beatiful football.‘Ronaldo did nothing until the
last two months’ – Filipe Luis
doubts Real Madrid star’s Ballon
d’Or claim
The Atletico star spoke of his admiration for
Lionel Messi as a man but revealed that he's
never asked for the Argentine's shirt
Atletico Madrid defender Filipe Luis believes
that Cristiano Ronaldo is not worthy of winning
the Ballon d’Or again this year.
The Real Madrid attacker has claimed the
individual prize on four occasions previously,
including in 2016, and is red-hot favourite to lift
the award once again after helping his side to
the Champions League and Spanish titles in
2016-17.
However, the Brazilian left-back has suggested
that there are more consistent candidates than
the Portuguese, who failed to help his side to
Confederations Cup success in Russia during
the summer.
“The Ballon d'Or is a subjective matter,” he told
Panenka . “Cristiano hasn't done anything until
the last two months.”
Meanwhile, he also spoke about the challenge
of playing Barcelona’s Lionel Messi and had
words of praise for the 30-year-old.
“I admire Messi, he’s never complained to me
in any game we played but I've also never
asked him for his jersey and never would. I
came to win, not to say I played against
Messi,” he said.
Filipe’s Atletico Madrid team-mate Antoine
Griezmann came third in the 2016 edition,
placing behind the Portuguese and the
Argentine.
Na jamaa kalenga mulemule kuwa hako kamoroko kamevuma miez miwili halafu kapewe balon dorThis is the ugly truth that any madrid fan would never wanna hear but hopefully someday they will realise that messi is an astonishing player to everyone who undrstands beatiful football.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfananishe Babako, Mamako na Ndugu zako kama Nguruwe kabla ya sisi!Mashabiki wa Barca huwa nawa fananisha na Nguruwe Nguruwe vile....
Sijui kwanini tu...
Woyooooooooooooooooooooo#Forca_Barca
We win ,we win we win Camp Nou uwanja utamwagiwa maji pasi 6000 za kutosha goli 4-1
Sema woyoooo