FORCA BARCA FORCA BARCA
Tuna team nzuri, iniesta leo kaupiga mwingi sana mzee yule.
Naona tunaua winga moja ya kushoto barca af upande wa kushoto hatushambulii sana ilo tatizo linaweza kutu cost tukikutana na team nzuri mana wakikaba vizuri kulia tu basi.
Dembele number yake ni 7 hivyo kumpeleka kushoto tunamnyima uhuru, tuna ukosefu wa number 11. Ayo ni mapungufu nilioyaona ila team iko vizuri tu.
Huyu Semedo kama tumepewa bure yani muda mfupi kama vile katokea La masia sasa naona tik tak inakaa mahala pake pale mbele vile vidume vitatu havitulii hapo lazima upate kazi utamkaba nani? Vidal ngoja nimtafutie mtaji wa kuchoma vitumbua