Walikua wanamtaka ac Roma huu ndio muda wakutumia busara za hali ya juu kabisa na kuhama tena kocha anafanya vizuri sana kumuondoa kwenye list ya players wa UEFAHuyu Semedo kama tumepewa bure yani muda mfupi kama vile katokea La masia sasa naona tik tak inakaa mahala pake pale mbele vile vidume vitatu havitulii hapo lazima upate kazi utamkaba nani? Vidal ngoja nimtafutie mtaji wa kuchoma vitumbua
Sio wameupiga tu wamewa humiliate JuventusBarca jana wameupiga sana
View attachment 587269
View attachment 587270View attachment 587272
Cc PAGAN but but he never scored against my dad [emoji23][emoji23][emoji23]
magazine za Spain zinasema Barca siku zote ni nzuri,Kuongezeka kwa Semedo kumeleta dimension mpya ya uchezaji-midfielders are now going about their duties bila wasiwasi cause right back anaifanyia number justice. Wameilinganisha huu ukuta wa Barca na Berlin Wall in its zenithNelson "motoGP" Semedo, ni hatari sana
Ineista umri pale upo ukingoni kabisa. Hivi kwani sergi Roberto hawezi kutuvusha?Valvede kama kocha amejitahidi kuiweka drfence yetu katika hali ya ubora wa hali ya juuu ukimuangali Umtiti, Semedo Pique na Alba wanatengeneza defence nzuri sana. semedo ni mzuri coz ana nguvu na mbio na anatumia akili katika kukaba. alex vidal ni mzuri lkn hana ubora wa kumfikia semedo.Semredo na mfananisha na eric sbidal.lkn lazima tuandae mbadala wa iniesta kozi umri naye wasogea
Anaweza lakn sio kwa quality ya AndresIneista umri pale upo ukingoni kabisa. Hivi kwani sergi Roberto hawezi kutuvusha?
Eti ni wide forward kwenye 4312. Ikawa anatokea kama LW.Naombeni kujuzwa Suarez alikuwa anacheza nafasi gani kwa sababu nadhani hachezi katika nafasi yake aliyoizoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewelewa sasa hachezi 9 tenaEti ni wide forward kwenye 4312. Ikawa anatokea kama LW.