FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Most seaons unbeaten in the UCL group stage:

10 times — BARCELONA
08 times — Real Madrid
07 times — ManUtd
06 times — Juventus
 
wakuu eeh naomben mnipe profile ya semedo km katokea wap tumemnunua kwa dau ngap nakadhalika pamoja na dembele
bila kusahau record zao
 
Tuna timu nzuri ila mimi kiukweli kwa navoona tuna ubovu wa upande wa kushoto hatuna winga ambae yuko vizuri, Suarez mara nyingi anakuja kusaidia kushoto uku na hana skills sana za kupunguza mabeki na pia hatutengenezi nafasi kabisa mana magoli tunayofunga ni juhudi za Messi tu. Kama match na Juventus sijaona nafasi za wazi zikitengenezwa zaidi ya magoli tu ya juhudi ya Messi. Tukicheza na timu nzuri ndo tutaona weakness zetu.
 
Ni kweli ila kama ni nafasi tulitengeza Mkuu. Kumbuka goli la I.Raktik, pia goli la Suarez ingawa alikuwa offside. Mbali na hizo nafasi, kumbuka Dembele aliwakosa baada ya kuangushwa na beki wa Juve ndani ya box na mpira ukawa umeenda nje (tukapata kona) kufuatia tackling ya beki wao huyo. Kadhalika pia Iniesta walimwangusha nje ya box tukapata free kick.

N.B siyo kwamba natetea, kweli mapungufu yapo kama ulivyosema ila naamini kadiri tunavyozidi kucheza mechi kibao ndio kadiri tunavyokuwa wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…