Kocha sijui anachokijaribu ni nini pale RBWakuu nini kinaendelea. Ndiyo natoka church naona tumepigwa 1. Nini Tatizo? ROBERYO ANAFANYAJE KWENYE RB?
Ha ha nimecheka kwa sauti hii ni style kali sanaLeo naanza kumtambua rasmi Paulinho
Alishindwa kufurukuta Spurs .nikajiuliza muujiza atakaotumia akiwa barca.leo nimeona ameanza kidog kujakujaHa ha nimecheka kwa sauti hii ni style kali sana
Aaah namkumbuka world cup 2014 na ule mwili wake mkubwaAlishindwa kufurukuta Spurs .nikajiuliza muujiza atakaotumia akiwa barca.leo nimeona ameanza kidog kujakuja
Man of the Match.The saviour.