FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hadi sasa naona mambo bado, huyu CR7 nina uhakika SAF anajuuuta kumuuza

Ngoja Messi afunge, SAF waga anaona alifanya uamuzi wa busara ila tu anatamani alipomuuza CR angemnunua Messi...lol
 
Ambao hamtazami huu mpira ukweli mnakosa uhondo, Barca wako nyuma lakini ni balaa. Jamaa wanacheza kama wamezaliwa nao!
 
Kama Madrid wata survive mpaka half time inabidi Morinho akabadili mbinu, kwa hali hii hawatoki salama. Na ROnalda inaonekana kaumia, anajikaza tu.
 
Half time, bado Madrid wako mbele. Sasa ndio tutamuona kama Morinho anaweza kufanya maajabu, maana kipindi chote cha kwanza walikuwa wanautafuta kwa tochi mpira.
 
Safi sana kama walikuwa wanatafuta mpira kwa tochi sasa naona watatafuta kwa kijinga cha moto. I pray for you Barcelona to win the game you deceive it
 
Barca wanacheza kama wao ndio wako nyumbani, hali ngumu kwa Madrid.
 
Asante Barca, waongeze cha 3..sasa lite inashuka vizuri sana! Go Barcaaaa
 
Good Barcelona you deceive it just finish the game, your making my day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…