FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu hakuna kitu huwa nakereka kama hicho mkuu!

Yaan kocha sijui ni nini anataka approve kumpanga beki 2
 
Anashindwa , kukipanga kile kikosi, akipanga vzr, hao germany, sijui spain watakiona cha moto
Wanasema kikosi kimekosa kemia. Wachezaji wao kila mtu anacheza ligi yake. Wakikutana wanashindwa kuelewana. Tofauti na Nchi kama Spain au Ujerumani.
 
Habari wakuu. Nipo ugenin leo halafu mwenyeji anatumia startimes. Je kuna channel yoyote katika hiki king'amuzi inayoonesha laliga?
 
Waheshimiwa Atletico, pigeni hawa Mbwa warudi Catalunya wakapige tena kura za Kujitenga..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa wewe umeongea mambo yasiyowezekana,mi naona bora tu ukubali matokeo ligi tushachukua labda wekeza nguvu kwingine sio LA LIGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…