Wewe ni wa kuhurumiwa tutafutaje sasa picha na historia wakati alikuwepo?tofautisha uwepo wake na heshima inayokupa club!!Acheni Uzwazwa wenu nyie...
Mbona bado hamjaondoa mapicha yenye image yake hapo juu...
Roho zinawauma kubabake....
View attachment 609907
Nipo,sema Barca are blowing hot and cold air-hii sio Barca tunayoijua we are winning but the entertainment index imeshuka sana-Velverde needs to sort this out
Alive kuoa ana ana tabu sanaAcheni Uzwazwa wenu nyie...
Mbona bado hamjaondoa mapicha yenye image yake hapo juu...
Roho zinawauma kubabake....
View attachment 609907
source please?Thiago Alcantara back home??
Ambition ya Velverde itatimizwa kwa kumsajili Antoine Griezman ambaye anataka kumtumia kama left wing?au no 10?
Idea ya Barcelona kumchukua Coutinho wameitupilia mbali kwenye dustbin?
Winter tutasafisha store na kumchukua mcheza mmoja either midfield (offensive) au left winger characteristically
Naona gap....la left na right winger
Mechi leo tunaimaliza dk 45 tu mzazi.tuanze kupeana updates kuhusu mechi ya leo
ExactlyMechi leo tunaimaliza dk 45 tu mzazi.
Ngoja tuone!Radio za Catalunya zimemwambia Velverde lazima Suarez acheze,we need the Beast in him-once back at full tilt his goals will be vital-he has been getting chances in front of goal its just a matter of his predatory senses being restored
Siku tukikutana na real madrid naamini RedMos ataturahisishia hii kazi ya kuchinja jogoo la x-mass maana waga anajifunga mno....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Goal....opposite goal mwaka wetu huu wa bahati