FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uzuri mashabiki wa barca sio wabishi team bado iko kwenye balance pamoja na kupungua one player
 
Jamaa alifungia mkono kweli. Bado tutawasumbua sana hawa. Ila forward yetu umakini mdogo sana. Tungekuwa na goli nyingi muda huu. Nafikiri Paco inabidi acheze. Huyu Luis amekosa ladha kabisa.
 
Ndio nashangaa tulitakiwa tuwe tumeshinda goli 3 tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…