FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Sijui kwanini bana, Denis yuko sharp sanahivi yule delofeu tulimrudisha kwa kiasi gani?maana back pass nyingi hajui kunyumbulika anacheza winger ya kizamani kusubiri huko huko juu aisee kwanini denis suarez mnyama hamchezeshi?
Jamaa hawezi kabisa kudribble. Anategemea spidi yake na kucross. Sijui nani kamwambia tunapigaga macross kama RM? Semedo anaweza akaipiga ile winger kuliko huyu jamaa.hivi yule delofeu tulimrudisha kwa kiasi gani?maana back pass nyingi hajui kunyumbulika anacheza winger ya kizamani kusubiri huko huko juu aisee kwanini denis suarez mnyama hamchezeshi?
Habari njema, Dembele akirudi mapema ila la msingi awe ameshapona vizuri. Mbape tayari kashanyakuwa ile Award ya Golden Boy.Wakati Neymar akiendeleza idadi ya card nyekundu
Takwimu za league 1 ziko hivi
Top scorer ni Falcao ana golsi 13 - assist 9
Cavani ni wa nne goli 9- assist 8
Neymar ni wa sita goal 7-assist 7(suspended 3 matches)
Laliga Messi goal 11 assist 3
Ronaldo team yake imecheza match 10 amefunga goli moja tu
Barcelona wame activate plan yakumleta tena Coutinho
And good news golden boy Dembele anatarajia kurudi dimbani kabla ya El Classico huku akiwa mbioni kuwania tuzo ya wachezaji bora chipukizi akiwa na mbappe bila kumsahau Jesus
#Barca_fire[emoji48]
Hiyo bado, kashinda "FIFA Best Men’s Player Award" of the YearPenaldo kapewa ballon d
Kwa vigezo wanavyovitumia hawa jamaa na ballon d'or atapewa Cr7 tu....Hiyo bado, kashinda "FIFA Best Men’s Player Award" of the Year
Kwanini unauliza hivi mkuu....?Hivi nyie mtamfunga real madiridi kweli msimu huu?
Kwa kuangalia takwimu timu ipi ni bora msimu huu? Maana unauliza ishu za football 101.Hivi nyie mtamfunga real madiridi kweli msimu huu?