FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FT: Girona 2-1 Real Madrid. Lete tena fyoko fyoko zako za jana huku ukibana pua zako. Unamcheka fulani Leo wakati kesho hujui atachekwa nani? Jibu unalo!!!.

"8 points clear at the top".
 
Match ya leo Ronaldo amevunja record yakuzomewa duniani kila akigusa mpira wanapiga boooo,akipasiwa boo akipaisha boo
Yuko wapi yule sijui padri sijui nani vile? Aje tena hapahapa akibana pua zake kama Jana. Kenchy type kabisa huyu...
 
Matokeo ya Madrid jaman huko ngapi ngapi maji yamekatika huku kwetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaweza kuangalia match
 
Ramos Karma is a bitch alichomfanyia Messi jana kafanyiwa akaishia ku panic
Na bado team yenu msahau kuhusu nominations tena tunaziba kila mahali tena january tunawasha moto kwenye transfer Laliga mtakua mnaisikia kwenye bomba tu miaka minane ijayo
 
Naona na naanza kuhisi Zidane atafukuzwa kama paka kule Madrid
Ninavyojua mimi ugonjwa ulioanza pale Madrid hautaisha hadi afukuzwe ,kocha misimu miwili na zaidi wachezaji wanatakiwa wazielewe mbinu zako zaidi otherwise umeshachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…