Itachukua muda sana kumwondoa Zizou. Alichokifanikisha kwa Madrid ni kikubwa sana. Utamsikia Perez ktk Press akimpa sapoti yake tena na tena. Kuondoka kwake ni labda Barça kushinda La Treble againBarua ya Zidane itakua wazi kuanzia tarehe 19-11-2017 atakapochezea koki za kutosha kutoka kwa Simeone
Espanyol wapuuzi, wao hata droo hawawezi kuitafuta kwa mdridGirona msimu huu wame droo na atletico madrid na amewapakata real Madrid leo. Hivi ndio timu za catalunya zinatakiwa kucheza. Sio kama espanyol.
Kwa kauli zako tu nahisi Madrid umeanza kuipenda sio muda ,ngoja nikugee historia kidogo ya kipindi hiki hiki nilichoanza kujua mpira hamna Madrid ilikua nzuri na inatisha na waliweza ku diminate soccer duniani kama enzi za kocha Vicente Del Bosco (respect kwake) kipindi hiko ronaldo original el phenomenon na Zidane ,Carlos Roberto,Figo (intruder from Barca),Raul Gonzalenz etc wakiwa pale akaja akafukuzwa kama paka mwizi 2002 ,tangu hapo Madrid walipigwa laana hawakushinda UEFA championship walikua wanaisikia tu kwenye bomba hata laliga nalo ndio kilikua kipindi cha golden age ya Barcelona kuanza.Itachukua muda sana kumwondoa Zizou. Alichokifanikisha kwa Madrid ni kikubwa sana. Utamsikia Perez ktk Press akimpa sapoti yake tena na tena. Kuondoka kwake ni labda Barça kushinda La Treble again
Kwa kauli zako tu nahisi Madrid umeanza kuipenda sio muda ,ngoja nikugee historia kidogo ya kipindi hiki hiki nilichoanza kujua mpira hamna Madrid ilikua nzuri na inatisha na waliweza ku diminate soccer duniani kama enzi za kocha Vicente Del Bosco (respect kwake) kipindi hiko ronaldo original el phenomenon na Zidane ,Carlos Roberto,Figo (intruder from Barca),Raul Gonzalenz etc wakiwa pale akaja akafukuzwa kama paka mwizi 2002 ,tangu hapo Madrid walipigwa laana hawakushinda UEFA championship walikua wanaisikia tu kwenye bomba hata laliga nalo ndio kilikua kipindi cha golden age ya Barcelona kuanza. Carlos Ancelotti akaja kuwachukulisha UEFA baada ya miaka 10 na laliga kwa msimu mmoja msimu uliofuata akaboronga uliza walimfanya nini(in short) It's the matter of time tu ,madrid ni kampuni na manager wake ni kocha na director ni Perez ambaye anaangalia umeingiza sh ngapi kila siku
Madrid sio watu wazuri we unakumbuka Casillas ,Raul waliwafanyaje bila kujali sacrifices zao kwa teamAm but a Barca Fan tena kindakindaki. I just stated my personal opinion kuwa Zizou achieved what Del Bosque never did na hilo linaweza kumweka zaidi Madrid hasa ukizingatia ni Golden Generation iliyopikwa na Vicente pamoja na Carlo Anceloti. Back to back CL ni a dream to any club. But wait, lets count together. Frank Rijkaard, Pep Gourdiola, Tito Vilanova, Tata Martino, Luis Enrique na sasa tuna Enersto Valverde. Kwangu mimi naona Barca hatuwezi kumcheka RM kwa hilo, labda tu ustaarabu tu wa namna ya kuachana na makocha
Hivi Semedo kamafanyia nini Velverde wakuu, why Sergi Roberto RB tena leo?Wakuu leo saa tano kasorobo tutakuwa Ugiriki kuwafunga olympiakos.
Semedo kuna clause akifikisha mechi kadhaa,msimu huu inabidi Barca walipe hela ya ziada kwa club yake ya zamani-Barca are trying to avoid thatHivi Semedo kamafanyia nini Velverde wakuu, why Sergi Roberto RB tena leo?
Yaan nikikuta Roberto yupo RB hadi hamu ya kuangalia game inaisha kabsa
Upo kama mimi mkuu asa kwanini tumemnunua Semedo akati Semedo bonge moja la beki mbili. Mie pale Barcelona ukimtoa Fundi Iniesta hakuna midfielder fundi kama Sergi Roberto mda mwingine akichezeshwaga beki 2 natamani ahame club aende sehemu ambayo ataonesha uwezo wake halisi.Hivi Semedo kamafanyia nini Velverde wakuu, why Sergi Roberto RB tena leo?
Yaan nikikuta Roberto yupo RB hadi hamu ya kuangalia game inaisha kabsa
Kweli mi nashangaa tunaomlaumu Suarez ila mfumo unamtesa anaibia pembeni kushoto siku hizi mda mwingi akati suarez sio mchezaji wa kariba hiyo ya kukokota mpira.Velverde amekumbushwa leo na magazeti ya Catalunya kwamba Barca is more then a club,its not a matter of winning,its how you win.Kuondoka kwa Neymar ame resort to plan b,ya kuua wingers,hence kati panajaa, predators kama Suarez hawapati space. For the time being Natives will put up with this-but the sooner he resorts to the real Barca the better.Watu wanataka kuwa entertained
Pamoja na hayo ila anablow chances A wazi nyingi sana.Kweli mi nashangaa tunaomlaumu Suarez ila mfumo unamtesa anaibia pembeni kushoto siku hizi mda mwingi akati suarez sio mchezaji wa kariba hiyo ya kukokota mpira.
Right flank itachafuka. Moto utawaka.Ngoja nikae kitako nione mafundi wangu Sergi Roberto na Semedo anavonikimbizia hawa Olympiacos. Apa kakosekana Dembele na Iniesta tu wangekula 10 leo
Nasikia eti akifikisha mechi kadhaa itatakiwa iongezwe 5m €. Mi naona siyo kitu ya kuogopa ukilinganisha na kiwango cha jamaa.Semedo kuna clause akifikisha mechi kadhaa,msimu huu inabidi Barca walipe hela ya ziada kwa club yake ya zamani-Barca are trying to avoid that