FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ila huu uwanja hauko sawa jamani ni mbaya hauko flat na ni mdogo
 
In short point tatu zingine kibindoni
Tunawafuata Valencia tuwapige 3-0 then tunakua na 50% ...ushindi laliga loading
 
Yeah ana 82.2% pass accuracy,Paulinho akipewa muda mwingi sana kwenye central position anaweza akampiku
 
Tatizo kocha wetu siku hizi anataka kua kama Maurinho anajihami sana huyu dogo Suarez angemchesha match 3 mfululizo tungeona kitu spectacular
 
[emoji122] [emoji122] [emoji4] king yamemchosha ma kina iwobi na li mikel
 

Madrid tumewapita point 11 [emoji23][emoji23]
Ili watukute inabidi au tunatakiwa tupoteze match 4 in a row
Na wao kati ya hizo match nne wawe wanashinda tu

Sasa piga tathmini team gani nne zinaweza kutusimamisha laliga mwaka huu?ikiwa hadi sasa hivi we are invincible tumebakiza match kama tatu nne tumalize round 1
"Apply cold water to burnt wound "
 
Nilishasema hapa, kuwa ikifika January, 2018 tunaongoza ligi, waandike wameumia tu maana itakuwa hakuna namna tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…