Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
ungeandika lugha mama,sasa "Rocker" ndio nini?????FIFA Club World Cup Champions.
We Dada leta Wine nyingine hapa mezani tusherekee another Trophy into the Rocker
Hilo trophy ni kubwa jingaFIFA Club World Cup Champions.
We Dada leta Wine nyingine hapa mezani tusherekee another Trophy into the Rocker
Hilo trophy ni kubwa jinga
Kombe jina kuuubwa ila timu hamna
Rudi ulaya nyambaf tukuonyeshe
Jmosi utafanywa mishikaki tukunywee bia
Kombe la mbuzi....zinacheza team za ajabu...ha ha ha hadi Madeid nayo ya ajabu..eti kombe unaanza kucheza nusu fainali halafu unashangilia wakati umebebwa kuanzia mwanzo wa competitions [emoji23][emoji23][emoji23]FIFA Club World Cup Champions.
We Dada leta Wine nyingine hapa mezani tusherekee another Trophy into the Rocker
Kombe la mbuzi....zinacheza team za ajabu...ha ha ha hadi Madeid nayo ya ajabu..eti kombe unaanza kucheza nusu fainali halafu unashangilia wakati umebebwa kuanzia mwanzo wa competitions [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uwe unatafakar kwanza kabla hujaongeaWe jamaa uwa unaongeaga pumba kweli, mi nafikiri hii football sio fani yako, umeanza kudandia gari kwa mbele juzi tu.
Mkuu uwe unatafakar kwanza kabla hujaongea
Kombe halina timu za maana.
Mmepata Ugumu coz ninyi ni wabovu
Rudini ulaya dadeki zenu tuwanyonyoe hivyo vipele
sent from my xm udongo using jf app
We are back in business nyie mwakani sijui hata kama UEFA mtacheza tia maji tia maji halfu sijui ulipitelea wapi we mtuHata Spanish Super Cup ni kombe la mbuzi na wakacheza na timu ya ajabu. Real Madrid walibebwa wakakupiga nje ndani. Hata mimi sijui kwanini wanashangilia.
We are back in business nyie mwakani sijui hata kama UEFA mtacheza tia maji tia maji halfu sijui ulipitelea wapi we mtu
Are you stupid like that in real life? In order to play Club World Cup, you must win the Champions league in your continent. Real Madrid ni mabingwa ndio maana huwezi kuwaona Malaga wanaenda kule. Na kwa taarifa yako tu, ile timu Gremio inatoka Brazil. Sasa kwasababu we ni mofo hujui mpira ndio maana unaishushia heshima Brazil.
I think you know kitakutokea nini Jmos nakushusha kabisa point na kukutoa race ya liliga ili uendelee kugombea nafasi ya pili na tatu ucheze japo UEFA next seasonKaa usubiri mwakani lakini you can't take away what we achieved in this 2017.
Mi sikupotea, nipo sana humu, ila mi sio troll for no reason like you guys. Nimekuja kuongea na wewe hapa kwasababu ya [HASHTAG]#ElClassico[/HASHTAG].
I think you know kitakutokea nini Jmos nakushusha kabisa point na kukutoa race ya liliga ili uendelee kugombea nafasi ya pili na tatu ucheze japo UEFA next season
Its our playground hapo ha ha ha favourite stadium ya every Barca player Messi ndo anapapenda zaidiThat will be war at the Bernabéu stadium my brother. Take your pride away and think about the game.
Its our playground hapo ha ha ha favourite stadium ya every Barca player Messi ndo anapapenda zaidi
Nakuandaa kisaikolojia kabisa kabla haujamlaumu Zizzou usije ukadanganyika na kikombe ulichowafunga Boko haram na Al Ahari za IraqSantiago Bernabéu ni favourite stadium for every football player in the World. No wonder they call it the Cathedral of football. Ni matumaini yangu tutashirikiana katika kukubali matokeo hiyo Jumamosi.
Nakuandaa kisaikolojia kabisa kabla haujamlaumu Zizzou usije ukadanganyika na kikombe ulichowafunga Boko haram na Al Ahari za Iraq