Game za pre-season nayo tunaihesabia tulikuchapa 3-2Huu msimu Zidane kashakupiga mara mbili kwenye official games, kwa hiyo so far Barcelona Mbele ya Real Madrid nawaweka kundi moja na hawa Boko Haram tu.
Game za pre-season nayo tunaihesabia tulikuchapa 3-2
Wakati tumelichukua sisi last season uliliita la mbuzi leo limeshakua Gold tenaWanaita Supa Copa de España, ni competition games sio pre-season, na winner anabeba trophy. Kama hujawahi kusikia jaribu kuangalia Google. Tumekutandika home and away, no excuses.
Wakati tumelichukua sisi last season uliliita la mbuzi leo limeshakua Gold tena
Kwa mara ya kwanza sisi tumeshazoea kukuchapa hamna jipya hapoUsinilishe maneno. Tumekutandika home and away games this season, no excuses for that. Don't be offended, nilikwambia mimi sio troll kama mlivyo Barkadogs, nimekuja humu maalum kwa ajili ya next [HASHTAG]#ElClasico[/HASHTAG]
Kwa mara ya kwanza sisi tumeshazoea kukuchapa hamna jipya hapo
Au nikutajie idadi ya magoli?
Waache wanachangamsha jukwaa ila wasitukane tuI wonder mashabiki wa Real Madrid huku wanafuata nini, sipati majibu.
Nenda mkapigwe mtungo na mourinho wakoTimu nzur thread imejaa matusi sijui vitoto vingi hapa inageuka genge la wahuni.
MadridiotsUsinilishe maneno. Tumekutandika home and away games this season, no excuses for that. Don't be offended, nilikwambia mimi sio troll kama mlivyo Barkadogs, nimekuja humu maalum kwa ajili ya next [HASHTAG]#ElClasico[/HASHTAG]
I concur with you kabisa sisi zaidi ya upinzani tu wa jadi haina umuhimu kwetu El ClassicoValverde: No Dembele for Clasico | Football Espana
Barcelona boss Ernesto Valverde admits Ousmane Dembele will all-but-miss the Clasico next weekend. “The idea remains that he’ll play again in January.”
Sio mbaya awe fit kwa ajili ya UEFA
I concur with you kabisa sisi zaidi ya upinzani tu wa jadi haina umuhimu kwetu El Classico
Tutashinda 100% ila you are not our competitorHaha, this time of the season every game is important. Sasa sijui unasema nini?
"Hata kama wakipaki basi lao Mkuu, tunashinda hii game".Hawa Deportivo C nahisi leo timu nzima watapaki bus-Paco,Suarez na Messi wote waanze ili tuwe na options za kuwa unlock hawa Deportivo
Hakuna kitu kibaya kama untill half time we have no goal frustuations creep in- Bookmakers wengi Spain wameiona hii hali you just have to keep Barca at bay,Camp Nou for the first half-second half anything can happen"Hata kama wakipaki basi lao Mkuu, tunashinda hii game".
Huyu jamaa kwa kufunga ni hatari Suarez hampati ndio maana wamemuita tena national Team SpainView attachment 653081
Tunahitaji mtu ka huyu tena