J2 ni el derby la Barceluni, Fc Barcelona wapo camp nou s wapinzani wao wakuwa wa jiji la Barcelona watoto wa el prat llobregat airport ya kimataifa ya Barcelona Real Club Deportivo(RCD) Espanyol tiu ya kifalme y Espanyol,ni mechi ngumu sana mara a mwisho kw rcd esayol kuhinda ilikuwa 2009 pale camp nou 2-1,na jana walikuwa wanakumbuka birthday ya nahoda wao a zamani alikufa kwa heart attack tarehe 8 mwezi gosti 2009 Dani Jarque i Gonzalez,ambae alikuwa swahiba mkubwa wa Fabregas ktk timu ya vijana ya Spain sambamba na Iniesta. alizaliwa tareh 1 january 1983 na alikufa tarehe 8 agosti 2009,Cesc,Ramos na Iniesta wameshatuma dedication walipofunga magoli kumkumbuka.