FC Barcelona - Cheaters, Liers, Actors ?? ALL true *for FCB Supporters

hizo ni chuki binafsi tu! barca wanatisha bwana! hiyo kujiangusha ni mbwembwe ili waonekane nao ni binadamu wenzenu lkn jamaa soka lao sio la sayari hii.
 
Soka ni mpira wa wanaume, sasa hii ngujiangushaangusha kunasababisha mpira kuharibika na timu nyingine kushindwa kucheza vizuri, pia kadi zinatolewa kutokana na udanganyifu.
 
hata wanawake wanacheza soka mkuu
 
Soka ni mpira wa wanaume, sasa hii ngujiangushaangusha kunasababisha mpira kuharibika na timu nyingine kushindwa kucheza vizuri, pia kadi zinatolewa kutokana na udanganyifu.

Amini nakuambia, kwa kuandika hivi huwezi kuharibu sifa na historia nzuri ambayo FCB inayo.
 
Back
Top Bottom