Acha kudanganya uma , barcelona kashinda mara 110 na madrid 97Hapana mkuu Real Madrid 72, Barcelona 71, Sare 34
Record ipo sawa.Acha kudanganya uma , barcelona kashinda mara 110 na madrid 97
Ni kweli, Mkuu!Kijana kila ligi inawababe wake. Ukitua Spain unakutana na REAL MADRID 30+ ubingwa La liga , Ukitua Italy unakutana na JUVENTUS TURIN 30+ ubingwa wa serie A . Hiyo miamba achana nayo kabisa ulaya. Sasa hivi tunasubiri nani atakua wa kwanza kufikisha vikombe 40 vya ligi kati ya Madrid na Juve. Barcelona Isingekua Dinho kuja kuifufua hadi leo Ingekua kama Real Betis tu au bahati mbaya angeshalifuata chama la ukweli enzi hizo Real Valladolid. Maana kabla ya Dinho kuja kombe lao kubwa lilikua EUROPA LEAGUE. Sababu Dinho alifanya miujiza kuwatoa mavumbini, ndio maana tumemwita Nabii Gaucho.
Record ya jumla inasemaje mkuu!?Record hii ni wakati bado gurdiola anaanza kufundisha barca , na guardiola ndio kawafunga madrid mara nying View attachment 771256
Definitely, Thank you!On 13 June 1943, Real Madrid beat Barcelona 11–1 at home in the second leg of a semi-final of the Copa del Generalísimo, the Copa del Rey having been renamed in honour of General Franco
Kipindi hicho mpira haukua modern way, ukisoma ilikuaje hiyo metch utagundua hiyo metch first leg Madrid alifungwa second leg mashabiki wote wa Barca hawakuruhusiwa kuingia uwanjani wakabaki mashabiki wa Madrid, afu wachezaji wa Barcelona ni kama walizuiwa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguoOn 13 June 1943, Real Madrid beat Barcelona 11–1 at home in the second leg of a semi-final of the Copa del Generalísimo, the Copa del Rey having been renamed in honour of General Franco
Basi wewe ni mkweli.Acha kudanganya uma , barcelona kashinda mara 110 na madrid 97
Kwa kuongeza Franco aliwaambia BARCA kuwa endapo wataifunga Madrid anawachinja wote.Kipindi hicho mpira haukua modern way, ukisoma ilikuaje hiyo metch utagundua hiyo metch first leg Madrid alifungwa second leg mashabiki wote wa Barca hawakuruhusiwa kuingia uwanjani wakabaki mashabiki wa Madrid, afu wachezaji wa Barcelona ni kama walizuiwa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo
You just Googlehahaa sio kwa hii fasihi
Nikuchokoze mkuu!?
Eti, Barca & Madrid wamekutana mara ngapi?
Aliyemfunga mwenziye mara nyingi ni nani, na kamfunga mara ngapi?
Ni nani anayeongoza kulibeba kombe la La Liga, na amelibeba mara ngapi?
Majibu yako nayahitaji sana mkuu.
You just googleMkuu, Unamwita Barca mfalme!
Mfalme kwa maana ipi hasa?
Kwa kutwaa la liga mfululizo miaka ya karibuni, au kwa kutwaa Copa Del Ray, au kwa kutwaa Eufa?
Labda mimi sifahamu chochote kwenye La Liga, Naomba udadavuzi hapo, Dadavua mkuu! TUJENGANE MKUU!