FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

Sio msimu uliopita huyu Baca alipigwa na Madrid wakati Ramos kala red?
Ngoja nimnukuu Ramos " ningejua tunashinda tukiwa pungifu ni bora ningetoka mapema".
 
Attachments

  • wp_ss_20180509_0001.png
    wp_ss_20180509_0001.png
    66 KB · Views: 59
  • wp_ss_20180509_0002.png
    wp_ss_20180509_0002.png
    60.9 KB · Views: 38
Huwezi linganisha Madrid na club yoyote duniani, let alone Baca.
Ni sawa na kusema Tz tumewapita USA kiuchumu kwasababu mwaka huu TZ tumenunua Bombadia wakati US hawajanunua.
 
On 13 June 1943, Real Madrid beat Barcelona 11–1 at home in the second leg of a semi-final of the Copa del Generalísimo, the Copa del Rey having been renamed in honour of General Franco
 
Kijana kila ligi inawababe wake. Ukitua Spain unakutana na REAL MADRID 30+ ubingwa La liga , Ukitua Italy unakutana na JUVENTUS TURIN 30+ ubingwa wa serie A . Hiyo miamba achana nayo kabisa ulaya. Sasa hivi tunasubiri nani atakua wa kwanza kufikisha vikombe 40 vya ligi kati ya Madrid na Juve. Barcelona Isingekua Dinho kuja kuifufua hadi leo Ingekua kama Real Betis tu au bahati mbaya angeshalifuata chama la ukweli enzi hizo Real Valladolid. Maana kabla ya Dinho kuja kombe lao kubwa lilikua EUROPA LEAGUE. Sababu Dinho alifanya miujiza kuwatoa mavumbini, ndio maana tumemwita Nabii Gaucho.
Ni kweli, Mkuu!
 
On 13 June 1943, Real Madrid beat Barcelona 11–1 at home in the second leg of a semi-final of the Copa del Generalísimo, the Copa del Rey having been renamed in honour of General Franco
Definitely, Thank you!
 
On 13 June 1943, Real Madrid beat Barcelona 11–1 at home in the second leg of a semi-final of the Copa del Generalísimo, the Copa del Rey having been renamed in honour of General Franco
Kipindi hicho mpira haukua modern way, ukisoma ilikuaje hiyo metch utagundua hiyo metch first leg Madrid alifungwa second leg mashabiki wote wa Barca hawakuruhusiwa kuingia uwanjani wakabaki mashabiki wa Madrid, afu wachezaji wa Barcelona ni kama walizuiwa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo
 
Kwa kuongeza Franco aliwaambia BARCA kuwa endapo wataifunga Madrid anawachinja wote.
 
Mkuu, Unamwita Barca mfalme!
Mfalme kwa maana ipi hasa?
Kwa kutwaa la liga mfululizo miaka ya karibuni, au kwa kutwaa Copa Del Ray, au kwa kutwaa Eufa?
Labda mimi sifahamu chochote kwenye La Liga, Naomba udadavuzi hapo, Dadavua mkuu! TUJENGANE MKUU!
You just google
 
Back
Top Bottom