FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

Barca barca bro hakuna porojo HP,jana kashinda 5-1., Na mechi ilofuata Madrid real kapigwa 3-2 Na sevilla
 
Weeeeeeeeeeee
Si mbabe wa ulaya tu, Pia La Liga tangu imeanzishwa miaka yote mpaka Leo yeye ndo kinara wa kombe hilo, Halafu ktk mabingwa 10 wa vilabu wa spain wa miaka yote, Real Madrid wanashika No 1 wakifuatiwa na Athletic Bilbao, Huku Barca akishika no 3.
 
Mkuu tuko bize na UEFA wewe unatupigia kelele na vikombe vyako local vya kunywea chai, kutesa kwa zamu ngoja na sisi zamu yetu ifike tuongee kwama wewe.
 
Nimegundua kitu. Kuna watu wameanza kuiona barca 2006 au 2007. hawa wengi wasumbufu sana. Vile vile kunawale madrid CR7 nao wasumbufu sana. Kutwa wanaangalia EPL alafu wanakuja kucomment Inshu za La liga au Serie A wengi wao weupe tu kuhusu soka.
 
No comment but Barcelona in this term is non stop.
 
Si mbabe wa ulaya tu, Pia La Liga tangu imeanzishwa miaka yote mpaka Leo yeye ndo kinara wa kombe hilo, Halafu ktk mabingwa 10 wa vilabu wa spain wa miaka yote, Real Madrid wanashika No 1 wakifuatiwa na Athletic Bilbao, Huku Barca akishika no 3.
Dogo hukijui unachoongea
 
Reactions: PNC
Nikuchokoze mkuu!?
Eti, Barca & Madrid wamekutana mara ngapi?
Aliyemfunga mwenziye mara nyingi ni nani, na kamfunga mara ngapi?
Ni nani anayeongoza kulibeba kombe la La Liga, na amelibeba mara ngapi?
Majibu yako nayahitaji sana mkuu.
anaumwa huyo,muda wote
 
Mkuu, Unamwita Barca mfalme!
Mfalme kwa maana ipi hasa?
Kwa kutwaa la liga mfululizo miaka ya karibuni, au kwa kutwaa Copa Del Ray, au kwa kutwaa Eufa?
Labda mimi sifahamu chochote kwenye La Liga, Naomba udadavuzi hapo, Dadavua mkuu! TUJENGANE MKUU!
Katika miaka kumi iliyopita mpaka sasa Barca katwaa la liga mara ngapi? Ukipata jibu la swali hili ndo utajua kwa nini ni mfalme
 
Gaucho wakati anakuja Barca Europa League ilikuwa imeanza? Barca imewahawi kushiriki Europa League? Au unalisha watu matango tu?
 
Katika miaka kumi iliyopita mpaka sasa Barca katwaa la liga mara ngapi? Ukipata jibu la swali hili ndo utajua kwa nini ni mfalme
Kumbe miaka ya karibuni?
Mimi nilifikiri Barca mfalme kwa kutwaa La Liga mara nyingi, Kumbe siyo!? Pole sana mkuu!
 
Nimegundua kitu. Kuna watu wameanza kuiona barca 2006 au 2007. hawa wengi wasumbufu sana. Vile vile kunawale madrid CR7 nao wasumbufu sana. Kutwa wanaangalia EPL alafu wanakuja kucomment Inshu za La liga au Serie A wengi wao weupe tu kuhusu soka.
Ni kweli mkuu, Kwangu mimi Madrid nimeifuatilia tangu kizazi F.Redondo,F.Morientes,F.Hierro,D.Suker.N.Anelka,M.Salgado,JMGuti,R.Gonzalez,L.Figo,Carlos,De Lima,Zizou,S.MC.Manaman,C.Sanchez,N.K Tangu 1998 hadi leo mkuu.
 
Katika miaka kumi iliyopita mpaka sasa Barca katwaa la liga mara ngapi? Ukipata jibu la swali hili ndo utajua kwa nini ni mfalme
Utoto huo!
Kwani tangu 2008 mpaka 2018 ni Barca tu aliyebeba La Liga mwenyewe?
Aliibeba La Liga mfululizo kwa miaka 10 au walikuwa wanabadilishana?
Acheni ushabiki usio na maana, Mfalme si yule anayeongoza kutwaa ndoo nyingi kuliko wengine?
 
Nimegundua kitu. Kuna watu wameanza kuiona barca 2006 au 2007. hawa wengi wasumbufu sana. Vile vile kunawale madrid CR7 nao wasumbufu sana. Kutwa wanaangalia EPL alafu wanakuja kucomment Inshu za La liga au Serie A wengi wao weupe tu kuhusu soka.
2008 Barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…