Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Huyohuyo sevilla anaemtaja kua kamfunga real ndo huyo aliempola kombe mdomoni Liverpool kwa kipigo cha tatu mojaKafungwa na Sevilla ndiyo, Kwani hicho ni kigezo pekee cha kumpatia Liver Eufa!?
Pole sana mkuu!
Tuwe tunawakumbusha mkuu wanapoteza kumbukumbu, Halafu wamezikimbia timu zao Arsenal na Liver.Huyohuyo sevilla anaemtaja kua kamfunga real ndo huyo aliempola kombe mdomoni Liverpool kwa kipigo cha tatu moja
mkuu usiumize kichwa maana kuna mtu aweza tumia maneno angali hajui maana yake,hajui maana ya muda woteKlabu bora ya karne ni ipi?
Waniambie wana Barca wa 2008
Nani kabeba mara nyingi katika hiyo miaka 10? acha utotoUtoto huo!
Kwani tangu 2008 mpaka 2018 ni Barca tu aliyebeba La Liga mwenyewe?
Aliibeba La Liga mfululizo kwa miaka 10 au walikuwa wanabadilishana?
Acheni ushabiki usio na maana, Mfalme si yule anayeongoza kutwaa ndoo nyingi kuliko wengine?
Kipindi hicho mpira haukua modern way, ukisoma ilikuaje hiyo metch utagundua hiyo metch first leg Madrid alifungwa second leg mashabiki wote wa Barca hawakuruhusiwa kuingia uwanjani wakabaki mashabiki wa Madrid, afu wachezaji wa Barcelona ni kama walizuiwa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo
Si mbabe kwa BarcelonaReal Madrid ndiye Mbabe wa Ulaya
Baca kala 5, unazungumziaje hili Chacha Maginga?Barca barca bro hakuna porojo HP,jana kashinda 5-1., Na mechi ilofuata Madrid real kapigwa 3-2 Na sevilla
Barca ya msimu huu ukisikia imefungwa Jua wametaka tu kufungwa,hakuna wa kumzuia barca Spain...dharau ndio zinawaponza sometimesBaca kala 5, unazungumziaje hili Chacha Maginga?
Hakuna timu duniani inataka kufungwa.. Hizi ni story za kujifariji.Barca ya msimu huu ukisikia imefungwa Jua wametaka tu kufungwa,hakuna wa kumzuia barca Spain...dharau ndio zinawaponza sometimes