FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

Hawa ndo wale walioikimbia Arsenal na Liver.
Wanataka ushindi wa shortcut, Wanataka matokeo ya haraka, Timu zao zikiboronga wanahama.
 
Ni kweli maana ya "klabu bora ya karne" inawachanganya, Hata "A.Bilbao kuwa klabu bora ya 2 kwa muda wote" inachanganya, "Barca kuwa klabu ya 3 bora kwa muda wote" inawachanganya zaidi
 
Utoto huo!
Kwani tangu 2008 mpaka 2018 ni Barca tu aliyebeba La Liga mwenyewe?
Aliibeba La Liga mfululizo kwa miaka 10 au walikuwa wanabadilishana?
Acheni ushabiki usio na maana, Mfalme si yule anayeongoza kutwaa ndoo nyingi kuliko wengine?
Nani kabeba mara nyingi katika hiyo miaka 10? acha utoto
 
Ni undezi kuilinganisha Los Blancos na klabu nyingine yoyote duniani kimafanikio uwanjani.
 
Kipindi hicho mpira haukua modern way, ukisoma ilikuaje hiyo metch utagundua hiyo metch first leg Madrid alifungwa second leg mashabiki wote wa Barca hawakuruhusiwa kuingia uwanjani wakabaki mashabiki wa Madrid, afu wachezaji wa Barcelona ni kama walizuiwa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo

Ndio uwongo mnaoambiwaga na kapteni wenu wa mipasho Xavi. Haha
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Barca ya msimu huu ukisikia imefungwa Jua wametaka tu kufungwa,hakuna wa kumzuia barca Spain...dharau ndio zinawaponza sometimes
Hakuna timu duniani inataka kufungwa.. Hizi ni story za kujifariji.
 
Back
Top Bottom