Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
- Thread starter
- #41
Bundesliga inapaswa kuwamulika na huu mchezo wa kujitengenezea ufalme.No offense ila ligi ya Ujerumani siichukulii serious.
Nimeona mkuu Mwifwa umejibu Leipzig na BVB siyo wa kupuuzwa lakini that means hawa wawili hata wakiweza kukupiga nje ndani means mzimu mzima utamalizika Bayern imepoteza mechi zisizozidi sita.
Now angalia hii kitu. Bayern inashika nafasi ya kwanza kwenye ligi, nafasi ya pili anashika RB. Bayern ananunua kocha na CB first eleven wa RB.
Next season hawa RB watakua wapi? Hivi ndivyo namna Bayern inaua ushindani Bundes liga. Kila mchezaji mzuri wa Bundes liga ujue Bayern atamtaka kumkosa ni asilimia chache endapo tu mchezaji husika atakataa ofa mfano Reus. Nje ya hapo yeyote atakayetakiwa hua hapindui.
Inasemekana wachezaji wa Bundes liga hua wanacheza wakiwa na ndoto ya kuchezea Bayern ndiyo maana hua hawakatai ofa. Am simply saying Bayern kwa ligi waliyopo there is not much
Bundesliga inapaswa kuweka mazingira ligi iwe na ushindani kwa timu zote.
Kama Bundesliga anashindwa haya basi ni dhahiri ipo mfukoni mwa Bayern