Manara kapanga kikosi chake cha dunia kampiga benchi Modric kamuweka Chama.Hivi Samatta na Lukaku nani bora..povu ruksa
Wewe unafanya nini kutengeneza samata wengine au ndio unapiga kelele tu?Hamna madogo wengine wanaochipukia, kitengo ndiyo kinajukumu la kutengeneza Ma Samatta wengi Tanzania ila wamebaki tu kuratibu mipango ya ccm kubaki madarakani
Ww unanifahamu?Wewe unafanya nini kutengeneza samata wengine au ndio unapiga kelele tu?
Huyu huyu mpiga danadana....Manara kapanga kikosi chake cha dunia kampiga benchi Modric kamuweka Chama.
Klabu ya Genk ya Ubelgiji imekataa dau la Euro milioni 13 kutoka kwa timu ya Cardiff City ya Wales.
Dau hilo ambalo liliwekwa jana jioni lilikuwa ni la kwanza kufanywa na haijulikani kama Cardiff City wataongeza dau hilo.
Cardiff City wanatafuta mshambuliaji na pia wanamfuatilia mshambuliaji wa Nantes Emiliano Sala.
Habari zaidi kufuata.
NB:
Habari hizi ni kutoka vyanzo mbalimbali.
Wamwache aende mbona mpunga mzuri sana huo? Wamesema dau lao ni kiasi gani?
Cardiff walifanya kitu chaitwa "registration of interest" kwa Mbwana Samatta lakini Genk wakakataa mara moja kwani dau lilikuwa ni hilo la 13 Mil Euros.
Lakini mpaka sasa timu ya Schalke nayo imefanya hiyo registration of interest na Genk wanafikiria.
Timu ingine ambayo jioni hii imefanya hivyo ni Southampton ya Uingereza ambayo inapigania kubaki kwenye PL.
Ila kuna uwezekano mkubwa Samatta akaenda Schalke au akabakia Genk.
Kwenye mpira sawa....ila huwa wanaishia Ktk nazi ya Uongozi km pale Karume na hivi vilabu viwili vya KariakooDu kitengo hadi kwenye mpira [emoji50][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekataaa sio yeye.€ 13 mil hawawezi kuikataa, hizo habari nina doubt nazo.