Atomic bomb
Member
- Apr 10, 2012
- 16
- 15
RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.
M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)
2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)
3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)
4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)
5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.
6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.
7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.
8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.
09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.
10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)
11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.
Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili