FCC VS MCHAKATO SIMBA

FCC VS MCHAKATO SIMBA

Atomic bomb

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
16
Reaction score
15
RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!

[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.

M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)

2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)

3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)

4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)

5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.

6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.

7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.

8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.

09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.

10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)

11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.

Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili
 
Mo atapata heart attack[emoji23]
 
Utopolo jengeni timu...hilo ndo lengo kwa msimu huu....Achaneni na suala la kombe... ...Kombe lina wenyewe..! Msikiage na nyingi...!
 
Si kila post ni utopolo fuatilia kinachoendelea..hili ni swala la uendeshaji halina uhusiano na makombe kwa sass
 
Huko ISHATANGAZWA Simba S.C Super Cup........! Mazembe ndani baada ya hapo ni CAF CL group stage ....., ! Uto tujenge timu...kocha anahitaji muda kuwajua wachezaji...! Wachezaji wazoeane...sasa hapo timu kupambana 2022/2023
!
 
RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!

[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.

M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)

2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)

3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)

4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)

5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.

6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.

7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.

8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.

09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.

10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)

11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.

Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili
Hii wametoa lini?
 
Utopolo jengeni timu...hilo ndo lengo kwa msimu huu....Achaneni na suala la kombe... ...Kombe lina wenyewe..! Msikiage na nyingi...!
Kwani wewe mbona unaongelea utopolo tu? Wapi katika hilo bandiko imetajwa Yanga. Si ujikite kwenye uzi mkuu uongee kama mshabiki wa simba. Na uongelee fcc.
 
Mambo ya kesi ni mahakamani simba tupo vizuri kwenye hilo hatutoki kwenye reli kwa kama mchakato umekosewa tutarekebisha # haturudi nyuma hadi simba iwe timu kubwa barani Africa
 
Ona huyu. Hata kinachoendelea hajui ila anapayuka tu.
 
Hawa uto wana hisa gani huko FCC?

Kuna haja ya kuchunguza hao wanaoitwa FCC wana unasaba gani na utopolo
 
Back
Top Bottom