Features mpya kwenye WaGPTbot - Telegram

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format

Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot

piga picha data zako kisha zitume kwa https://t.me/wagptbot na andika neno Table kwenye caption kisha tuma.

2. kutambua na ku_extract maandishi yaliyopo kwenye picha au document ambayo ipo scanned hata yaliyoandikwa kwa mkono

Optical Character Recognition
(OCR) (Utambuzi wa maandishi yaliyopo kwenye picha).WaGPTBot sasa inakuwezesha kubadili hard copy kuwa softcopy hata kama imendikwa kwa mkono ndani ya sekunde chache tuu.
  • Piga picha ukurasa wenye maandishi halafu utume kwenda kwa WaGPTBot https://t.me/wagptbot Kisha utapokea softcopy ya maandishi yaliyo kwenye hardcopy ndani ya sekunde chache tuu.

  • Unaweza mpa WaGPTBot maelezo afanye nini na hayo maandishi yaliyopo kwenye picha hiyo kwa kuweka caption unapotuma.

  • Pia, WaGPTBot anaweza tumia maandishi yaliyopo kwenye picha hiyo kufanya reference na maongezi yaliyopita au yanayofuat kama utamwamuru kufanya hivyo.
3. Kununua airtime/vocha kwenda mtandao wowote
Unaweza kuunua airtime kwenda mtandao wowote kwa kutumia WaGPTBot kwenye Telegram yako https://t.me/wagptbot bila kuhamisha fedha kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine. Mfano unaweza nunua Airtime kwenda TTCL, Tigo, Halotel, Airtel ikiwa tu unapesa kwenye M-Pesa yako.
 
1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format

Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot

piga picha data zako kisha zitume kwa https://t.me/wagptbot na andika neno Table kwenye caption kisha tuma.

2. kutambua na ku_extract maandishi yaliyopo kwenye picha au document ambayo ipo scanned hata yaliyoandikwa kwa mkono

Optical Character Recognition (OCR) (Utambuzi wa maandishi yaliyopo kwenye picha).WaGPTBot sasa inakuwezesha kubadili hard copy kuwa softcopy hata kama imendikwa kwa mkono ndani ya sekunde chache tuu.

Safi sana
 
superb, huwa natumia chagpt ya tele, juzi wametoa updated wamefanya collabo na midjourney. Sema tangu wakolabo sjaitumia japo kwa maelezo waliyotoa ni kuwa they are taking bot tech to higher levels.

Hiyo feature namba 3 inafikilisha kidogo + usalama kwa kuruhusu bot afanye miamala yako. Hii mmeidevelope nyie?
 
Screenshot_2023_0723_095928.jpg

Kanipa jibu la swari langu
 
superb, huwa natumia chagpt ya tele, juzi wametoa updated wamefanya collabo na midjourney. Sema tangu wakolabo sjaitumia japo kwa maelezo waliyotoa ni kuwa they are taking bot tech to higher levels.

Hiyo feature namba 3 inafikilisha kidogo + usalama kwa kuruhusu bot afanye miamala yako. Hii mmeidevelope nyie?
Yes, hii nimedevelop mimi, unapokamilisha transaction yako ya kununua airtime tumelink na mtandao wako watakutumia popup ambapo utaweka password yako, this means password yako ya transaction huiweki na haiwi traced kwenye WaGPTBot
 
Back
Top Bottom