1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format
Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot
piga picha data zako kisha zitume kwa https://t.me/wagptbot na andika neno Table kwenye caption kisha tuma.
2. kutambua na ku_extract maandishi yaliyopo kwenye picha au document ambayo ipo scanned hata yaliyoandikwa kwa mkono
Optical Character Recognition
(OCR) (Utambuzi wa maandishi yaliyopo kwenye picha).WaGPTBot sasa inakuwezesha kubadili hard copy kuwa softcopy hata kama imendikwa kwa mkono ndani ya sekunde chache tuu.
3. Kununua airtime/vocha kwenda mtandao wowote
Unaweza kuunua airtime kwenda mtandao wowote kwa kutumia WaGPTBot kwenye Telegram yako https://t.me/wagptbot bila kuhamisha fedha kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine. Mfano unaweza nunua Airtime kwenda TTCL, Tigo, Halotel, Airtel ikiwa tu unapesa kwenye M-Pesa yako.
Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot
piga picha data zako kisha zitume kwa https://t.me/wagptbot na andika neno Table kwenye caption kisha tuma.
2. kutambua na ku_extract maandishi yaliyopo kwenye picha au document ambayo ipo scanned hata yaliyoandikwa kwa mkono
Optical Character Recognition
- Piga picha ukurasa wenye maandishi halafu utume kwenda kwa WaGPTBot https://t.me/wagptbot Kisha utapokea softcopy ya maandishi yaliyo kwenye hardcopy ndani ya sekunde chache tuu.
- Unaweza mpa WaGPTBot maelezo afanye nini na hayo maandishi yaliyopo kwenye picha hiyo kwa kuweka caption unapotuma.
- Pia, WaGPTBot anaweza tumia maandishi yaliyopo kwenye picha hiyo kufanya reference na maongezi yaliyopita au yanayofuat kama utamwamuru kufanya hivyo.