julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Leo naanza beti, kuuambia ulimwengu
Feb 29 mwezi, mwaka huu mchungu
Mwaka huu yamini, hakuna kushangilia.
Polen wote mulozaliwa feb 29.mwaka huu hamna birthday yenu.afterall mchele ghali na mafuta,pilau mutakula mwaka wingine.mwaka huu tarehe yenu hakuna