Fedha anazotumia Tulia kwenye kampeni zinatoka wapi?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi.

Ni muda mrefu sasa Spika yuko nje ya nchi na jopo lake la wapambe kumuombea kura nchi mbalimbali kwa gharama za nani?

.
 
Jamani!!!

Mbona Mbowe ni Makamu mwenyekiti wa Vyama vya Demokrasia Dunia Nzima!

So what ? Mbowe ni Sawa na huyo kibwengo anatetea uuzaji wa bandari za Tanganyika ? Hata aroge u.chi huo uspika wa Dunia haupati maana wenye akili duniani wamesha dig deep down her profile and leadership conduct and found she is just another imbecile ! Nonsense!
 
Jamani!!!

Mbona Mbowe ni Makamu mwenyekiti wa Vyama vya Demokrasia Dunia Nzima!
🤣🤣🤣....watu Wana makasiriko sana aisee....speculation kwa Kila kitu...inaonekana rushwa wanakula watu Fulani tu Hawa wengine hawali rushwa kabisa....ni wasafi kwlikwli yaani
 
Dunia haina watu wajinga,
 
Hilo shetani halifiki popote pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…