jaman hiv mnaweza kunisaidia ni fedha kiasi gan kwa makadirio kinahitajika kujisajil chuo kabla ya boom?
chuo ni Udom kozi ya BA-ECONOMICS&SOCIOLOGYinategemea na chuo kipi unakwenda, na pia inategemea kama una mkopo au laa
inategemea na chuo,
kwa ushauri kama utaweza kupata 550,000/= itajuwa vzuri, ila usijali,
hata kama hutopata hicho kiasi angalau usiende mikono mitupu.
ebu funguka chuo unachotaka kwenda tujue tunakushauri vp in effective way!
jaribu kufuatilia chuoni maana kila chuo kina utaratibu wake jinsi ya kujisajili mfano saut na matawi yao unatakiwa uwe na asilimia 40 ya ada pamoja pesa usajili ambayo ni kama 143000.
Nisaidieni me wa ifm kiasi gan kinahitajika
hahaha! umeumia mil 1 na hamsini tu mkuu.