fedha inahitajika unaporipot chuoni

fedha inahitajika unaporipot chuoni

yah! Lakini kama
nilivyosema hyo itategemea na chuo husika. Mf. TEKU , wanafunzi wakifika
tu wanaambiwa ili waweze kujisajili walipe kiasi cha 535,000/= kwanza
bila kujalisha mtu analipiwa kiasi gani na bodi. Ila kama mtu hana
wanasubiri hadi HESLB watume pesa zao chuoni.

bro hebu nidadavulie na cost za Udom bas kama unaweza nisaidia?
 
je ifm hostel za chuo kiasi gani na hiyo tar 7 ni ya kuripoti chuo au ndo ya kufanya registration....???
 
VIP MIM WA UoA?,Kiwango kinachotakiwa ili nipokelewe?,hiv hilo bummmm huwa linatoka kabla ya kwenda vyuon au baada ya kwenda?,nisaidiwe tafadhar.
 
kwa anayejua kiasi cha fedha kwa IMTU nimechaguliwa Medical Laboratory Technology ...
kwenye admission wanaweza wakahitaji sh . ngapi ..¡¿ Mkopo naexpect utakua 100%
 
kiasi gan kinahitajika kwa kampala dsm mpaka ukamilishe regstn kwa anayejua anisaidie nmechaguliwa B of pharmacy ila t fee ni mil 6 nmeomba mkopo.
 
hahahha,nilikua najua tofauti nilikua nakutania bro..!!chuo gani unaenada kama UDSM laki mbili zinakutosha,,!!
 
kiasi gan kinahitajika kwa kampala dsm mpaka ukamilishe regstn kwa anayejua anisaidie nmechaguliwa B of pharmacy ila t fee ni mil 6 nmeomba mkopo.

ada mil 6 kama chuo cha nje ya nchi wakat mimi iyo pesa yako ya ada nasoma miaka 3 na chenji inabak kama mil 3
 
Back
Top Bottom