Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

sangmelina

Member
Joined
Jan 23, 2022
Posts
11
Reaction score
15
Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo
Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na kupendana tufunge ndoa

Sifa zangu
-Umri wangu ni miaka 37
  • Nina shughuli halali ya kuniingia kipato ( sina shida ndogo ndogo)
  • sina mtoto kwa sababu kumzalisha msichana / mwanamke bila ndoa is not only against will of God but also adultery
  • Elimu yangu ni ya chuo kikuuu

Sifa za mke.
-Awe na utayari wa kuolewa na kuwa na familia
  • Awe na afya njema
  • Asiye na mtoto àtapewa kipaumbele
  • At list form six and above education back ground
  • Awe na umri kuanzia 25 to 35
Nb. Kama umevutiwa na Sifa zangu karibu tuyajenge mwenza upatikana popote cha msingi ni makubaliano

Mawasiliano
Email adress : sangmelina85@gmail.com
 
mchumba hiyo formsix vipi wakati we mwenyewe na degree yako umeishia kujiajiri?
 
Miaka 50 tunapita tu kuangalia comments
 
Una uhakika Bank ipo 160m au una milioni Kumi ndo unaona una hela ya kutosha jiangalie wewe
 
Back
Top Bottom