Fedha ni matokeo!!

Fedha ni matokeo!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hata uwe mzuri kiasi gani hata uwe na elim kiasi gani hata uwe na utajiri kiasi gani
mwisho wa siku lazima uwe na mwenzako ..swala si tu kuwa na jina umeolewa la hasha
unaitaji kuwa na mwenzako wakukufunga zipu za nyuma kama didy na mamake
pengine watu wanafikiria ndoa ni just kukaa na kujulikana nimeolewa la hasha
kuna mambo mengi mnaitaji kusaidiana ambayo kama si mwenzako unakuwa kwenye wakati mgumu sana

aijalishi mnaishi kwenye maisha gani fedha ni matokeo..mimi kabla na baada ya kuoa nilikuwa namwambia
mke wangu fedha ni mali yabwana wala usiwe na shaka ilikuwa ni fevour ya mungu ilinifwata kanisan
kuniulizia kiwanja cha heka moja kwa milion 4.5 mbezi beach leo nakula upepo na bibie didy
so aijalishimnaanza maisha gani mwisho wa siku utaitaji kuwa na mwenzako..la maana mpendane'
msaidiane muheshimiane kama mwenzawako hana kazi wala usimuulzie mungu ati mateso gani umenltea
la hasha starehe ya mateso nifuraha..kuwa na furaha mwaminimungu kazi itakufwata..mke wangu akijifungua
anamaliza mkataaba wa kaz i baada ya mwezi nami napumzika kazini..ndan ya miezi mitatu favour ya mungu ikanifwata
nikiwa napiga prayers...so kuwa kwenye shida hiyo ni gea ya kutoka kimaisha mkiwa mmesmama na mungu

mungu akakakupe ufahamu in jesus name
be blessed
 
Mkuu tafakari makini sana na inamaana kubwa sana. Sorry sijapenda hitimisho lako maana linaonekana kuwa kama limegusa imani moja pekee wakati sio kweli. Nimekuwa nikifuatilia sana makala zako huwa ni nzuri sana na huwa zinavuta watu wengi zaidi hivyo naomba kama unavyoamua kutupa faida hizi sisi sote basi toa bila kubezi imani ktk imani yoyote ingawa hili nimeliona kwa mara ya kwanza leo.
 
Mada zako ni ndeeeeeeeefu ,jifunze kufupisha habari ktk mpangilio unaoeleweka!
 
Back
Top Bottom