Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
fafanua mkuuKatika masuala ya Uhuru , fedha au uchumi ndio kitakufanya kuwa Huru. Nje na hapo utakuwa mtumwa iwe kwenye ndoa au popote Kama hauna kitu haiwezi kuwa na maamuzi katika maisha yako na hii Ni kwa wote
Inajieleza mkuu Soma hata comment utaelewa tufafanua mkuu
✓✓✓Upo sahihi Mkuu.
PESA INA NGUVU KWENYE KILAKITU.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue