Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu?
Hii siyo ya kukalia kimya!
Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu ndio kwanza wapo mstari wa mbele kuturudisha nyuma!
Mbunge unajua hali za wananchi wako, gharama za maisha zinapanda kila kukicha, baada ya kutafuta njia ya kupunguza mzigo unataka umuongezee tena kodi?
Ndio mmeona hii ndio itakuwa njia rahisi ya kuwafanya watu wasipate taarifa, mpite bila kupingwa na kuendesha serikali kama vile mnaendesha ng'ombe?
Wale wa kukaa kimya na kuona matatizo yanawagusa watu fulani, hii inaenda kukugusa hata wewe! Piga kelele, embu tuache kuwa wajinga na kukubali upuuzi kama huu kuendelea kufanyika!
Raia wa Gairo, Mbunge wenu Ahmed Shabiby kapendekeza takataka huko bungeni, endeleeni kuwa chawa tuendelee kusaga meno mpaka kiama!
Kwa nafasi yako piga kelele, hata wewe unayetoa povu hapa unafanya kwa nafasi yako, usikae kimya wakati una uwezo wa kusema, kama Rais huwa anapita amini na wale wengine wanapita kuchungulia kama mmekubali au lah, huwezi kwenda kuandamana piga spana JF dawa iwaingie huko huko walipo!
Simu zenyewe mnatumia kutongozea na kutazamia ngono wazo la mbunge ni zuri usipoumwa wewe ndugu yako ataumwa.
Achen negativity wabongo, wangapi wanakufa kwa kukosa matibabu kisa mia Tano.
Sasa km ndivyo unadhani hao wenye mashirika hayo wakiondoka ndio tutapata ufumbuzi?
Huoni kama watakuja wawekezaji wengine ambao bado atakaye umia ni mlaji wa mwisho?