Fedha za EU zinavyotuangamiza Wakenya

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
FEDHA ZA EU ZINAVYOTUANGAMIZA WAKENYA

Tunajua dhahiri kwamba fedha za Umoja wa Ulaya (EU) ndio zinazotusababishia madhila ya kila aina sisi Wakenya.

Serikali yetu imepokea fedha hizo haramu zenye masharti ya kutuangamiza sisi Wakenya.

Baadhi ya masharti hayo ni kama yafuatayo:

1. Serikali lazima itoe takwimu kwamba COVID-19 ipo na waathirika wanaongezeka kila uchao.

2. Serikali lazima itufungie majumbani (lockdown) bila kujali madhara tunayoyapata.

3. Serikali lazima ikubali chanjo za majaribio za ugonjwa wa COVID-19. Serikali yetu imeshakubali na wakati wowote tutageuzwa panya wa maabara. Huu ni ugaidi wa kibaiolojia.

Tunafahamu kwamba COVID-19 ni utekelezaji wa New World Order mpango wa wazungu kutawala Dunia. Wanataka wakitoa amri, lazima itekelezwe.

Ndio maana wazee wetu hapa Kenya waliandika kitabu kisemacho Not Yet Uhuru kuonesha kwamba Kenya bado ipo chini ya wakoloni japokua tumepewa _uhuru bandia.
 
Kikubwa ni kujua hakuna msaada unaotoka kwa mabepari kuja kwa nchi masikini.

Uchumi wa kibepari huwa hautoi hata shilingi 1 bila kujua itarudi vipi.

Ukiona unapewa fedha nabepari ujue ameshajua atakutumia vipi nautarudisha vipi fedha yake.
 
Unataka upate chanjo ambayo haikufanyiwa majaribio katika binadamu? Tafuta ya kwako. Chanjo zote ni lazima zijaribiwe kwanza. Siku nyingine uwe na akili japo kidogo ya kuandika heading kwa herufi ndogo.
3. Serikali lazima ikubali chanjo za majaribio za ugonjwa wa COVID-19. Serikali yetu imeshakubali na wakati wowote tutageuzwa panya wa maabara. Huu ni ugaidi wa kibaiolojia.
 
Pamoja na mateso yote wanayopata wakenya, bado pesa hazijawanufaisha. Zimeliwa na wajanja, ambao wameenda kununulia mabenk huko kongo.
 
Siyo kila mtu anayeongea Kiingereza ni Mkenya. Ulitaka kuleta propaganda za CCM, Polepole na Kabudi hapa.

Hakuna cha kiingereza wala nini, mimi ukifagilia Kenya, nakuita mkenya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…