Pole Sana jirani,naona umeandika kwa uchungu Sana Ila Prof.Lumumba amesema mje TZ kujifunza naman ya kupambana na Ufisadi,labda huenda ikasaidiaππFEDHA ZA EU ZINAVYOTUANGAMIZA WAKENYA
Tunajua dhahiri kwamba fedha za Umoja wa Ulaya (EU) ndio zinazotusababishia madhila ya kila aina sisi Wakenya.
Serikali yetu imepokea fedha hizo haramu zenye masharti ya kutuangamiza sisi Wakenya.
Baadhi ya masharti hayo ni kama yafuatayo:
1. Serikali lazima itoe takwimu kwamba COVID-19 ipo na waathirika wanaongezeka kila uchao.
2. Serikali lazima itufungie majumbani (lockdown) bila kujali madhara tunayoyapata.
3. Serikali lazima ikubali chanjo za majaribio za ugonjwa wa COVID-19. Serikali yetu imeshakubali na wakati wowote tutageuzwa panya wa maabara. Huu ni ugaidi wa kibaiolojia.
Tunafahamu kwamba COVID-19 ni utekelezaji wa New World Order mpango wa wazungu kutawala Dunia. Wanataka wakitoa amri, lazima itekelezwe.
Ndio maana wazee wetu hapa Kenya waliandika kitabu kisemacho Not Yet Uhuru kuonesha kwamba Kenya bado ipo chini ya wakoloni japokua tumepewa _uhuru bandia.
Mtanzania yeyote anayewapinga huwa wanambatiza uraia wa Kenya.Siyo kila mtu anayeongea Kiingereza ni Mkenya. Ulitaka kuleta propaganda za CCM, Polepole na Kabudi hapa.
Huyo ni Mtanzania mwenzako na wala wewe sio Mtanzania kumshinda. Yaani you are not more Tanzanian than him. But nimeona yeye yupo very rational and very logical. He is very intelligent ndio maana amekuaibisha peupe mbele ya watu.Hakuna cha kiingereza wala nini, mimi ukifagilia Kenya, nakuita mkenya tu.
Dah...kwani lazima ijaribiwe kwa wananchi?au Kenya huwa hamchagui wawakilishi?..kwetu Bongo wananchi hatuna tatizo...tuna wawakilishi wa kutosha...wabunge...madiwani...na wanalipwa [emoji2960]Jielimishe 4 phases of vaccine development (Google).
I know bro, the essentials of protocol compliance.
Ambayo ni voluntarily. Lkn Kenyans are the victims of the situation.
Ethics compliance in words only, you tell me if a poor unsuspecting folk in Kiambuu or in Turkana will even know that she is been stealthy subjected as a Guinea pig.Scientists have ethics - research ethics. No unwilling Kenyan will be forced to participate. Usieneze propaganda.
Huyo ni Mtanzania mwenzako na wala wewe sio Mtanzania kumshinda. Yaani you are not more Tanzanian than him. But nimeona yeye yupo very rational and very logical. He is very intelligent ndio maana amekuaibisha peupe mbele ya watu.
Ethics compliance in words only, you tell me if a poor unsuspecting folk in Kiambuu or in Turkana will even know that she is been stealthy subjected as a Guinea pig.
Good Lord, wonders shall never ceaseπ
Kuna kipindi waChina walikua wanagawa carton za beer badala ya chakula kule TurkanaWakienda kule mathare wanasema, tumekuja wapea vaccination. Njoo mkuje niwapee. Halafu wanapewa na hela kidogo.