Fedha za field zimekuwa majanga !

Fedha za field zimekuwa majanga !

Jamani hivi kumbe tunasoma huku tunategemea serikali 100%?

Ina maana support ya ndugu na jamaa itakuja kuonekana lini..? siku tukiwa na kazi ama?

Btw, wanafunzi nao wana matumizi mabovu sana ya pesa, pesa ya boom ina uwezo wa kutumiwa vizuri kabisa na ku-cover RISKS kama hizi... mpe mwanafunzi sasa uone, mwezi mmoja tu pesa imeisha, kilichofanyika utakuta ni nje kabisa ya pesa ilichopangiwa, achilia mbali wale wanaosaidia ndugu zao kwa hizo pesa, lakini hilo nalo halikuwa lengo...

Hata hizo pesa za field nazo wengi wakipewa huwa zinaisha hata kabla ya muda wa field, kwani uongo?

MATUMIZI YA PESA KWA WANAFUNZI WA VYUO NI MABOVU SANA, TUSEME UKWELI TU, SIO LAWAMA KILA SIKU.....!

we ngoja uone vyuo vikifunguliwa, watu watadai pesa fasta kama vile walikuwa wanalala njaa ama wamefukuzwa kwao, hata wiki haipiti..

JAMANI EENH, MNAPOPEWA PESA, IWE NI YA M.A ama FIELD, JARIBUNI KUTUNZA JAPO KIASI KIDOGO CHA KUWASAIDIA HAPO BAADAE KWA RISK KAMA HIZI,

WENGINE HATA VYUO WAKISHAHITIMU WANAKOSA MPAKA NAULI... STAREHE ZITAWAMALIZA..

Ama kweli if you want to be wiseman keep quiet to maintain your intellegence
 
major mwendwa ....
A point of objection awali ya yote, kuzaliwa katika familia duni doesn't necessarily guarantee the same trench to the biholder, we've lots of icons that hv broken through from rags to riches...

Pia usiseme kua mtu analipwa 80'000 still doesn't starve na mwingine anapata 225'000 bado analia njaa... many factors can be side driver hapa.

Je umeassess vipi inflow na outflow za hawa watu wa2...?
Je umeassess vipi disburse ya hizo pesa kati ya hawa watu wa2...?
Je umeassess vipi background kati ya hawa watu wa2...??

Even at ill conjectures, never blame your parent for what that they didn't deliver, kama ulivyojaribu kumaanisha. Hapo mwisho wa hitimisho ya comment yako UMEBOA kinyama.

ONTARIO ninajua excuse na reason kibao ambazo wanafunzi wanazo just ku justify kuwa wanaonewa. Inflow and outflow inategemea na attitude za wanafunzi wapo ambao hiyo hiyo pesa ya boom wanasomesha ndugu zao na wapo wengine wanaitumia hiyo pesa ku generate another source of income. Na wanafunzi wanapolalamika wawe wanajua wanawalalamikia kina nani serikali imeshindwa kulipa mishahara kwa wakati, deni linazidi kupaa budget deficit inazidi kuwa kubwa kwa msomi ambaye anajitambua hizi ni dalili tosha za kuonyesha kuwa serikali imekwisha lemewa sasa ns hamna namna ya pekee ya kujiokoa zaidi ya kutumia kwa makini na kwa malengo husika kile kidogo kinachopatikana na kuongeza maarifa ya kujiongezea kingine. Ukilalamika haisaidii. Sababu walimu, polisi, madaktari, wanajeshi wote kilio chenu ni kimoja. Na ukweli ni kwamba serikali imefail na inaendelea kudidimia kabisa so if you expect miracles from government you're insane. Still am standing on my point ni kweli serikali inajukumu ya kutoa huduma muhimu kama Afya barabara Elimu. Na kadharika lakini wananchi pia tunawajibu wa kuchangia hizo gharama. Na kushindwa kwa mtoto kupata Elimu mlalamikiwa wa kwanza ni mzazi serikali ni ya pili sababu wenye waliozaliwa na wazazi waliofanikiwa kuchanga karata za maisha yao vizuri wanasoma. Na si kila anayesoma bila mkopo ni fisadi au eti wazazi wake wana pesa la hasha ni mipango ya wazazi. Na wapo wenye uwezo ambao wanapata mkopo. So my point stands there I wish tunavyoilaumu serikali kushindwa kutupatia pesa kwa wakati tungewalaumu na wazazi wetu kwa kushindwa kutusomesha bila ya mkopo mbona wazazi hatuwalaumu hivi
 
Last edited by a moderator:

Unaposema serikali imeelemewa, what screenplay comes 1st in you brain???

Mbona tukigoma we'll have those greenbacks the very coming day?? Serikali inaitoa wapi??

Okey!! BMK inaanza early next month, hao wabunge will have their cheddar on the very same day, hiyo pesa inatoka wapi...??

Hapo kwenye ku-centure wazazi lemme stay still, unajuaee a still tongue maketh a wise head.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wanachuo ,na pia poleni sana baadhi ya wachangiaji kushindwa kujibu hoja ya msingi hoja ya msingi hapa ni kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya mtu suala la kuhoji matumizi ya mtu lingekuwa na man tiki iwapo tuu mwanachuo amepewa Pesa katikati ya masomo halafu zimeisha kabla ya muda uliopangwa halafu anaanza kulalamika sasa basi wajumbe wa hili jukwaa jaribuni kufikiri sana na msijikite kwenye kuhoji matumizi ya MTU(mwanachuo)
 
Ama kweli if you want to be wiseman keep quiet to maintain your intellegence
Yeah mkuu ! Tunatakiwa kuhoji kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya MTU binafsi.

Ingekuwa mtu kapewa boom la halafu kamaliza then analalamika ndio tungetumia hii hoja ya ,"matumizi mabaya"
 
Yeah mkuu ! Tunatakiwa kuhoji kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya MTU binafsi, ingekuwa mtu kapewa boom la halafu kamaliza then analalamika ndio tungetumia hii hoja ya ,"matumizi mabaya"

Ni kweli mkuu hata mimi nilifikiri hapa ntakuta habari mpya kuhusu hizo pesa kumbe watu wanabishana namna ya kutumia pesa.

Mambo ya kutumia pesa ni ya mtu binafsi, hapa tatizo ni pesa kuchelewa nina uhakika mpaka sasa hata hao waliokuwa na akiba kias fulani nazo zimeisha.
 
hapo ndipo mnapotetea ujinga,

pesa mnatumia vibaya, mkiulizwa mnatoa macho kama mmebanwa na mlango!

Kwa hiyo unataka kusema kuwa serikali iko sahihi kichelewesha pesa au?

Unaposema matumizi mabaya ni mabaya kivipi? Nijuavyo mimi zile pesa za boom hutolewa kwa miezi miwili kwa hiyo mtu akimaliza hizo pesa kabla ya muda huo hapo una haki ya kusema matumizi mabaya.

Lakini huwezi sema eti matumizi mabaya wakati pesa zimechelewa karibu mwezi mzima sasa, kwa kipindi chote hiki hata kwa baadhi ya wale walio na akiba zishaisha.

kijana kuna pesa inatakiwa iwepo kwa ajili ya emergencies kama hizi!... kuwa mwelewa!

Hivi Unaelewa maana ya dharura?

Mimi huu ni mwaka wangu wa tatu chuoni, nina shilingi laki sita ya ziada kutoka kwenye boom, unadhani hapo hata biashara ya kuanzia nikimaliza haitokosekana kwa hii pesa?..

Jifunze basi kutoka kwa wengine...

Hapa tayari umegeneralize, hivi unadhani jinsi maisha yako yalivyo ni sawa na wengine?

Wengine hutumia hizo pesa kusomesha wadogo zao, kulipa kiasi cha ada zinazobaki n.k

Sasa kwa majukumu kama hayo na mengine unafikiri mtu ataweza kuwa na akiba kubwa ya pesa ukilinganisha na pesa yenyewe anayopata?
 
Excel utajichosha bure kuna wakati haya mambo huwa ni chain baba alikuwa masikini mama masikini mtoto masikini na watoto atakao zaa ni maskini. Katika nchi ambayo mtu analipwa Tsh 80000 na anafamilia wanakula mwingine analipwa Tsh 225000 na bado hana familia anaona hazitoshi. Wasomi siku hizi yupo radhi kukaa nyumbani miaka 2 ili akisubili kazi ya 1 m au basic salary ya laki 7. Hivi umewahi jiuliza kwanini wahindi wanaishi kimaskini ili hali they own business of billion. Suala ya kusoma kwa mkopo tu ilitupaswa kuwa wanyonge tu majority hata wakijidai huo ni mkopo watalipa hivi ni wangapi ambao wameshindwa kulipa madeni kwa bodi na wana kazi. Hivi ukifa huo mkopo nani atakulipia. Ni haki yetu ila kuna mambo serikali tunaionea bure tu. Take it individually kwamba ni mtu mmekubaliana ndo anakukopesha unaweza kuwa ugly kiasi hicho. After all wakuwalaumu ni wazazi wetu sababu wao ndo wametuleta duniani kwa mipango yao na si serikali. Wao wanawajibu na si ombi wala hisani ni wajibu wao kumlea mtoto wao kwa kumpa malezi, Afya bora na elimu bora hadi pale wao watakapo ona inafaa mtoto wao kujitegemea mwenyewe. Serikali haikuwaomba wazazi wetu watuzae

Mtoa post tafakari kwanza kwani swala la kufa kuna mtu ambaye ajui kwamba atakufa, elimu uliyonayo bado haijakusaidia,swala ni tunataka pesa na siyo upuuzi unaotoa
 
Last edited by a moderator:
Excel
UD chakula 1200, maybe you're tying to dine a thing closer to lousy, njoo mabibo you'll have the cheapest dish at 1500...

Lemme show you a short breakdown...
Chai=1000
Lunch=1500
Supper=1500
Nauli=800
Voucher=500

Hujalipa accomodation, hujanunua stationaries, hujavaa, huja.....
At that ease, what are you gonna preserve??

my son am not concur with you!!! i was there, na kwa macho na mikono yangu nikala wali wa 800/= , ni kweli wote tunapishana katika matumizi, wengine rafu wengine matumizi mazuri, ila all in all tukatae tukubali bado wanachuo tuna matumizi mabovu!!
 
Back
Top Bottom