Fedha za field zimekuwa majanga !


Ama kweli if you want to be wiseman keep quiet to maintain your intellegence
 

ONTARIO ninajua excuse na reason kibao ambazo wanafunzi wanazo just ku justify kuwa wanaonewa. Inflow and outflow inategemea na attitude za wanafunzi wapo ambao hiyo hiyo pesa ya boom wanasomesha ndugu zao na wapo wengine wanaitumia hiyo pesa ku generate another source of income. Na wanafunzi wanapolalamika wawe wanajua wanawalalamikia kina nani serikali imeshindwa kulipa mishahara kwa wakati, deni linazidi kupaa budget deficit inazidi kuwa kubwa kwa msomi ambaye anajitambua hizi ni dalili tosha za kuonyesha kuwa serikali imekwisha lemewa sasa ns hamna namna ya pekee ya kujiokoa zaidi ya kutumia kwa makini na kwa malengo husika kile kidogo kinachopatikana na kuongeza maarifa ya kujiongezea kingine. Ukilalamika haisaidii. Sababu walimu, polisi, madaktari, wanajeshi wote kilio chenu ni kimoja. Na ukweli ni kwamba serikali imefail na inaendelea kudidimia kabisa so if you expect miracles from government you're insane. Still am standing on my point ni kweli serikali inajukumu ya kutoa huduma muhimu kama Afya barabara Elimu. Na kadharika lakini wananchi pia tunawajibu wa kuchangia hizo gharama. Na kushindwa kwa mtoto kupata Elimu mlalamikiwa wa kwanza ni mzazi serikali ni ya pili sababu wenye waliozaliwa na wazazi waliofanikiwa kuchanga karata za maisha yao vizuri wanasoma. Na si kila anayesoma bila mkopo ni fisadi au eti wazazi wake wana pesa la hasha ni mipango ya wazazi. Na wapo wenye uwezo ambao wanapata mkopo. So my point stands there I wish tunavyoilaumu serikali kushindwa kutupatia pesa kwa wakati tungewalaumu na wazazi wetu kwa kushindwa kutusomesha bila ya mkopo mbona wazazi hatuwalaumu hivi
 
Last edited by a moderator:



Unaposema serikali imeelemewa, what screenplay comes 1st in you brain???

Mbona tukigoma we'll have those greenbacks the very coming day?? Serikali inaitoa wapi??

Okey!! BMK inaanza early next month, hao wabunge will have their cheddar on the very same day, hiyo pesa inatoka wapi...??

Hapo kwenye ku-centure wazazi lemme stay still, unajuaee a still tongue maketh a wise head.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wanachuo ,na pia poleni sana baadhi ya wachangiaji kushindwa kujibu hoja ya msingi hoja ya msingi hapa ni kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya mtu suala la kuhoji matumizi ya mtu lingekuwa na man tiki iwapo tuu mwanachuo amepewa Pesa katikati ya masomo halafu zimeisha kabla ya muda uliopangwa halafu anaanza kulalamika sasa basi wajumbe wa hili jukwaa jaribuni kufikiri sana na msijikite kwenye kuhoji matumizi ya MTU(mwanachuo)
 
Ama kweli if you want to be wiseman keep quiet to maintain your intellegence
Yeah mkuu ! Tunatakiwa kuhoji kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya MTU binafsi.

Ingekuwa mtu kapewa boom la halafu kamaliza then analalamika ndio tungetumia hii hoja ya ,"matumizi mabaya"
 
Yeah mkuu ! Tunatakiwa kuhoji kwa nini pesa zimechelewa na sio kuhoji matumizi ya MTU binafsi, ingekuwa mtu kapewa boom la halafu kamaliza then analalamika ndio tungetumia hii hoja ya ,"matumizi mabaya"

Ni kweli mkuu hata mimi nilifikiri hapa ntakuta habari mpya kuhusu hizo pesa kumbe watu wanabishana namna ya kutumia pesa.

Mambo ya kutumia pesa ni ya mtu binafsi, hapa tatizo ni pesa kuchelewa nina uhakika mpaka sasa hata hao waliokuwa na akiba kias fulani nazo zimeisha.
 
hapo ndipo mnapotetea ujinga,

pesa mnatumia vibaya, mkiulizwa mnatoa macho kama mmebanwa na mlango!

Kwa hiyo unataka kusema kuwa serikali iko sahihi kichelewesha pesa au?

Unaposema matumizi mabaya ni mabaya kivipi? Nijuavyo mimi zile pesa za boom hutolewa kwa miezi miwili kwa hiyo mtu akimaliza hizo pesa kabla ya muda huo hapo una haki ya kusema matumizi mabaya.

Lakini huwezi sema eti matumizi mabaya wakati pesa zimechelewa karibu mwezi mzima sasa, kwa kipindi chote hiki hata kwa baadhi ya wale walio na akiba zishaisha.

kijana kuna pesa inatakiwa iwepo kwa ajili ya emergencies kama hizi!... kuwa mwelewa!

Hivi Unaelewa maana ya dharura?

Mimi huu ni mwaka wangu wa tatu chuoni, nina shilingi laki sita ya ziada kutoka kwenye boom, unadhani hapo hata biashara ya kuanzia nikimaliza haitokosekana kwa hii pesa?..

Jifunze basi kutoka kwa wengine...

Hapa tayari umegeneralize, hivi unadhani jinsi maisha yako yalivyo ni sawa na wengine?

Wengine hutumia hizo pesa kusomesha wadogo zao, kulipa kiasi cha ada zinazobaki n.k

Sasa kwa majukumu kama hayo na mengine unafikiri mtu ataweza kuwa na akiba kubwa ya pesa ukilinganisha na pesa yenyewe anayopata?
 

Mtoa post tafakari kwanza kwani swala la kufa kuna mtu ambaye ajui kwamba atakufa, elimu uliyonayo bado haijakusaidia,swala ni tunataka pesa na siyo upuuzi unaotoa
 
Last edited by a moderator:

my son am not concur with you!!! i was there, na kwa macho na mikono yangu nikala wali wa 800/= , ni kweli wote tunapishana katika matumizi, wengine rafu wengine matumizi mazuri, ila all in all tukatae tukubali bado wanachuo tuna matumizi mabovu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…