Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna mtu namjua anamdogo wake yupo academy flani hapo morogoro ila ile academy kuna kipindi hata mipira haina inabidi wamuombe mpira mdogo wake jamaa aliyemununulia
Changamoto za academy za mpira Tanzania
Fedha za goli la mama zingepelekwa academy zingesaidia sana kwa sababu zina-hali mbaya sana kifedha
Hizi timu kubwa kama simba, yanga, na azam nyingi zinajiweza kifedha kwa mtizamo wangu hawastahili kupewa fedha na serikali fedha za goli la mama zingepewa academy
Mimi nikiwa Rais wa Tanzania academy zote zitatengewa budget na watoto wataanza academy wakiwa na miaka 7 na sio sahivi wanaenda academy wakiwa wakubwa wengine na miaka 14 sababu ya kutokwenda wadogo ni ufinyu wa budget wa academy nyingi
Changamoto za academy za mpira Tanzania
- Miundo mibovu ya viwanja
- Kutokuwa na gym, na indoor training nyakati za mvua
- Ufinyu wa vifaa kama mpira
- Kutokuwa na walimu wazuri sababu haziwamudu kuwalipa