Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna academy hata mipira ni changamoto inamaana wangepewa hizo million 30 au 40 zingewasaidia sanaGoli la mama haliwezi kuendesha academy ya mpira tuandae mchakato rasmi ila goli la mama sio tatizo katika kua na mikakati ya academies
Hii ndo changamoto kila jambo ni mtaji wa kisiasa