Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Ndo kuzuri kuanzia kazi mjini kila kitu pesa. Nauli sh ngapi from arusha?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Thank God nimebahatika ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know. Thank you.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nimetafuta sana majina ya walimu waliochaguliwa katika ajira mpya siyapati naomba nisaidie
hamtapewa,subsistence zenu zimepelekwa kujengea nyumba za walimu,
Kwa mwalimu wa shahada last year ilikuwa 45000 kwa siku saba kama umepangiwa wilayani(kijijini), 65000 kwa siku saba kama umepangiwa mjini. but kila mwaka mambo yanabadilika kwani mwaka juzi walitoa hela ya siku 14
Abasi Isare ni mwalimu wa diploma
mmmh!kweli ualimu wito uliondoka toka enzi zileeeee!yaani cha kwanza kufikiri ni fedha!!!
elimu ni wito ndo maana tunasema hata huo mshahara wenyewe hautoshi,by the way hiyo kauli mbiu ya elimu ni wito unaifahamu vizuri!!!!hivi hujui hata volunteers huwa wanalipwa!maslahi huja baada ya kazi huwezi kuanza kufikiria malipo bila kazi!!Ikiwa kama mtu ametumia si chini ya milioni 12 (bila gharama ya muda) kama gharama za elimu ya ualimu, je unataka akajitolee sadaka? Je upo tayari kuona mwanao, kaka dada n.k akifanya kazi isiyo na maslahi?. Kuweni na mawazo ya kileo. Mtu anayesema elimu ni wito basi afungue chuo na kufundisha wanachuo bure, kisha aiambie jamii anafanya kazi ya wito.