Fedha za kujikimu ajira mpya

Fedha za kujikimu ajira mpya

kuna dogo anataka mwl grade 3 wakubadilishana naye dogo yeye yupo tabora.
 
Oh! Thanx ntajipanga nikapacheki sometymz later kabla ya kuripoti 1 march nisije acha kazi huku nikakimbilia porini zaidi. Nilipo ni rough road masaa 4 kutoka wilayani nauli 12000 no umeme no ntwk.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Watz kwa mbwembwe 100% but perfomance 0%. We umepata kaz unaanza mbwdmbwe wakati ni juz twn ulkuwa unapiga mayowe kuulizia kama zmetangazwa!
 
Thank God nimebahatika
ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili
kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls
mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know.
Thank you.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Teh teh teh,lyf kweli tyt,yaani madogo wanaulizia fwedha za kujikim jf wakiwa na mahope meengi ya kuzipata,hv nyie hii s/kali mnaijua au ya baba zenu,kafanye kazi kwa mkopo kwanza,fweza baadae
 
acha kelele, panda Simanjiro Express saa 10:30 Asubuh pale kati makutano kwa elfu 8 tu. By saa 5😱o jioni upo Orkesumet. usipoteze ticketi ili ukabidhi. utapewa 45 elfu kwa siku saba ila utapangiwa porini ndugu na sio kijijini oooooooookey!
 
Yaani uende kuanza kazi bila pesa ya kujikimu!hamna kitu kama hicho labda waseme kitatolewa kiasi kidogo cha pesa.Na kama ni kweli serikali itarajie zero kuongezeka kila mwaka.nani atafundisha kwa dhati kwa mazingira kama hayo.
 
Thank
God nimebahatika
ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili
kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls
mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know.
Thank you.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Thank God nimebahatika
ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili
kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls
mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know.
Thank you.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ondoa akilini hzo pesa za kujikimu na mishahara ya miezi ya mwanzo
wenzenu walio ajiriwa mwaka jana hadi leo wanadai pesa zao na hiyo ni
kwa nchi nzima,cha msingi we jipange uripot ukiwa na hela zako mwenyewe
na kama uniamini puuzia ninicho kushauri lakini utaja kukumbuka haya
maneno.
 
kujikimu ni 40,000 kwa mwenye shahada. zidisha kwa siku 7 ambazo hukuwa na pakuishi =140000

Back
Top Bottom