Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
Oh! Thanx ntajipanga nikapacheki sometymz later kabla ya kuripoti 1 march nisije acha kazi huku nikakimbilia porini zaidi. Nilipo ni rough road masaa 4 kutoka wilayani nauli 12000 no umeme no ntwk.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Thank God nimebahatika
ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili
kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls
mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know.
Thank you.

Thank
God nimebahatika

Wadau mtu anichekie jina Godfrey Mbelle ngazi ya cheti walimu wa msingi kapangwa wapi. Nilipo net inasumbua sana.
Thank God nimebahatika
ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili
kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls
mwenye kujua nauli kutoka arusha mjini mpaka simanjiro let me know.
Thank you.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Simanjiro mazingira yake yako vp !? , komekaone na Sabry001 hebu tufahamishane wakuu ! ,, mkuu Kitaeleweka uko wapi !
Naomba mniangalizie jina hili STEWARD MUSHI kapangwa wapi jamani,msaada naomeni
toa maelezo yatosha, je?wewe ni mwalimu wa diploma au ngazi ya cheti inakuwa rahisi kutafuta, make wameyatenganisha
ndugu yangu hadi sasa sina info yeyote kuhusu huko, ila bado naendelea kutafuta nikizipata tutajuzana. Mkuu Kitaeleweka njoo jukwaani ndugu utujuze.