M Milax New Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Jul 26, 2014 #1 naomba kuulza wadau,hizi pesa kwaajili ya mafunzo kwa vitendo bod ya mkopo inatoa lini mbona ni muda mrefu tangu 2mesaini?
naomba kuulza wadau,hizi pesa kwaajili ya mafunzo kwa vitendo bod ya mkopo inatoa lini mbona ni muda mrefu tangu 2mesaini?
donMramba JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 250 Reaction score 42 Jul 26, 2014 #2 fununu zipo nyingi mkuu ukizitaka utaabiwa sana....nmeambiwa baada ya idi
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,207 Reaction score 14,343 Jul 26, 2014 #3 bring back REVO SQUARE AND TAKE DARUSO