Fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo

Fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo

Milax

New Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
2
Reaction score
0
naomba kuulza wadau,hizi pesa kwaajili ya mafunzo kwa vitendo bod ya mkopo inatoa lini mbona ni muda mrefu tangu 2mesaini?
 
fununu zipo nyingi mkuu ukizitaka utaabiwa sana....nmeambiwa baada ya idi
 
Back
Top Bottom