TREVORULINDA
Member
- Jul 12, 2025
- 5
- 2
Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje??
Maana vijana wengi wamekuwa watu wa kukopa bila kujua watapata lini stahiki zao,wanaishi kwenye mwanzo mgumu kiasi kwamba wanakosa mpaka fedha za matumizi yao binafsi.